Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Clouds....
wanazaa,
wanalea,
wanakuza,
wanaua,
wanafufua.
ruge akiiona hii lazima akupe tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clouds....
wanazaa,
wanalea,
wanakuza,
wanaua,
wanafufua.
Wasani tukiwaambia wanazingua sjui wamerogwaKweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha fiesta Mwanza hasa ukizingatia Fid Q ndo mwenyeji wao.
Mbona mikoa mingine waliyoenda waliwapa kipaumbele wasanii wazawa wa mkoa husika , inabidi ifike mahala wasanii waache kunyenyekea hao clouds.
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo...Wasani tukiwaambia wanazingua sjui wamerogwa
Kweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha fiesta Mwanza hasa ukizingatia Fid Q ndo mwenyeji wao.
Mbona mikoa mingine waliyoenda waliwapa kipaumbele wasanii wazawa wa mkoa husika , inabidi ifike mahala wasanii waache kunyenyekea hao clouds.