Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndio nikuulize wewe naona suala la wewe kuwa mjamzito unataka kulitangaza mbele ya umma
Unafanya nini wewe huku JF usiku wote huu? Rudi ukalale na mumeo huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nikuulize wewe naona suala la wewe kuwa mjamzito unataka kulitangaza mbele ya umma
Suala lako la kuwa mjamzito tunaomba ulifanye siri wewe na mumewo hatutakujua kama mnalingishiana na wenzako sisi halituhusu
I got a better one than you'll ever have.
Sitaki tena ukome kabisa nina mke mzuri sitaki magube gube
MadameX
alisema ana dawa yako
Hawana kazi Marekani huyo ni bonge na alosto miaka kumi na kenda kaenda majuu kurdi hawezi ana stress za kufa mtu kaachwa na mzungu rent kimeo nakuambia JF ikiwa down wanakufa hawaHuyu jamaa anayejinasibisha na ile redio ananishangaza sana
Ndo maana ile redio wafanyakazi wake wanakashfa za ajabu ajabu
Mwanaume mzima unamdiscuss mke wa mtu tena kwenye masuala ya ujauzito?!
Hunifahamu sikufahamu so u better reserve that comment
Hata unavyoandika ni kike kike tu.
Huyo ni shosti wako? Naona unamtaja taja sana kaa vile anakutengenezaga nywele saluni.
MadameX kaja anasema akutafutria dawa umemtuma search utaona thread yake.Najua una matatizo lakini yasiwakere wengine
Hujasikia anaitwa Bilali wa Kinondoni uliza watu PM watakupa kila kitu chake wewe ushaona wapi mwanaume anaulizia mimba za wanawake,eti hajashika mimbaNyani Ngabu ,nina wasiwasi na jinsia yako,hata ya kike sio hivyo.Au ni wale wa Mombasa waliokamatwa juzi
Clouds imepotee kwa ajili ya vi comments vyenu humu? Labda hizi comments zingetoka kwa wanaowapa matangazo Clouds hapo ningekuelewa. Radio inaendeshwa na matangazo na ukitaka kujua ni brand kubwa karibu kila kipindi na vi-segment vyake vinakuwa na sponsors. Hamna kampuni ya maana inaweza kupeleka matangazo yake kwenye media za kipuuzipuuzi.
Sasa huyo Jide ni komandoo gani anaye-telegraph next move yake? Komandoo wa wapi huyo? Mimi nilidhani komandoo atakuwa na stealthy moves kama za crocodile kumbe wapi, hamna kitu kabisa.
Hahahaaa hii tayari najua. Nachosubiri ni pichaz za wabebs wa ukwee pamoja na za cigar mdomoni na poz la kufa mtu.
Hujasikia anaitwa Bilali wa Kinondoni uliza watu PM watakupa kila kitu chake wewe ushaona wapi mwanaume anaulizia mimba za wanawake,eti hajashika mimba
Nyani Ngabu ,nina wasiwasi na jinsia yako,hata ya kike sio hivyo.Au ni wale wa Mombasa waliokamatwa juzi
Hawana kazi Marekani huyo ni bonge na alosto miaka kumi na kenda kaenda majuu kurdi hawezi ana stress za kufa mtu kaachwa na mzungu rent kimeo nakuambia JF ikiwa down wanakufa hawa
ukikaa ndani ya nyumba ya vioo usipende michezo ya mawe. Jide aliyataka mwenyewa she is so pathetic and desperate anataka huruma za watanzania sasa hao aliowachokoza they seem to be one step ahead always!!Kwani swala lililopo mahakamani ni lipi la mdhulumiwa kumtaja mdhulumu wake hadharani ama? Naona wazee wa magorofani wanajipanga kudhurumu mpaka kiduchu cha wasanii