Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie redio zinazongoza kuwa na matangazo mengi ya biashara hapa TZ? Au nitajue radio ambazo wana kipindi ambacho kinakuwa na sponsors zaidi ya wa5 kwenye kipindi kimoja?
Muziki uliodhaminiwa na nani?
Nyani Ngabu umesahau kuwa siku hzi tunagradutueti huku tukiwa hatujui hata kuandika sentensi moja ya Kiingereza?Good for Ruge and Joey.
If I were them I'd sue the shit out of her too.
Stupid has been.
Kwani wao wanajali nani kadhamini muziki. Kwani ladha ya muziki inategemea mdhamini ni nani?
Ukijali ya Ngabu ni sawa na kazi bure. In real life he doesn't exist. Haya kanywe sumu ufe. Unasubiri nini wewe mburula?
CLOUDS FM ni chombo cha CCM.Another "planned diversion" from issues of National interest.....
As long as shaban madobe anakufahamu na wewe unaonekana kumfahamu basi una-exist kwenye real life...na inaonekana unatatizo kubwa tu sana...
Na ninywe sumu kwa kipi?!...wewe mtoto wa watu?!
Acha tabia za kike bwana mdogo
Au labda nenda kwa Gadner umzalie mtoto kama unaona hiyo kazi Commando kaishindwa
Aisee yote haya sababu ya #joto hasira#
Clouds Fm hawafai msanii bila kuwahonga Ruge, maprisenter, maDJ na mashabiki wao wanaoRequest nyimbo (ummy kitwana na Daud wa kota), Hutoki TZ!
Si huyo shoga mwenzako wala wewe anayenijua. Hivyo bado, endelea kujaribu.
Hivi, ulitegemea kwenye celebrities forum yaongelewe maisha binafsi ya paka? Hapa ni kuongelea maisha binafsi ya watu, na ndo maana forum hii ipo. Hapa ndo mahala pake, wataongelewa wakifanya lolote, liwe baya, zuri au vyovyote vile..Ungekuwa unataka watu wajali ya kwao ungeanza na wewe kwa kujali ya kwako na kuacha kuongelea maisha binafsi ya watu
Kuna watu stori za mitaani wanadhani zina lolote mahakamani...Teh teh mmemchochea mzee wa watu sasa kazi kwake.
Kikubwa tu atoe uthibitisho kuwa Kusaga na Ruge wanawanyonya wasanii.
pale ni mahakamani na atatakiwa athibitishe.
Kengeza litamnyooka lile.
Nyani Ngabu tangu lini na wewe umeanza bifu na dadangu Jide?