Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds Fm hawafai msanii bila kuwahonga Ruge, maprisenter, maDJ na mashabiki wao wanaoRequest nyimbo (ummy kitwana na Daud wa kota), Hutoki TZ!
 
Nitajie redio zinazongoza kuwa na matangazo mengi ya biashara hapa TZ? Au nitajue radio ambazo wana kipindi ambacho kinakuwa na sponsors zaidi ya wa5 kwenye kipindi kimoja?

Umetumia vigezo gani kuamini kwamba Clouds ndo wanamatangazo mengi?
 
Ukijali ya Ngabu ni sawa na kazi bure. In real life he doesn't exist. Haya kanywe sumu ufe. Unasubiri nini wewe mburula?

As long as shaban madobe anakufahamu na wewe unaonekana kumfahamu basi una-exist kwenye real life...na inaonekana unatatizo kubwa tu sana...

Na ninywe sumu kwa kipi?!...wewe mtoto wa watu?!

Acha tabia za kike bwana mdogo

Au labda nenda kwa Gadner umzalie mtoto kama unaona hiyo kazi Commando kaishindwa
 
Another "planned diversion" from issues of National interest.....
CLOUDS FM ni chombo cha CCM.
Waarabu wameachiwa, mchajisha simu na madereva wa daladala wanasota ndani, Polisi wamefeli.
Wameamua kuwatumia nyani hawa wa mjini kutuhamisha kutoka kwenye ishu yetu sensitive.
Unakumbuka BAbu wa Loliondo alivyopata promo wakati tunakataa Dowans isilipwe kwa kuwa ni kampuni feki?
CLOUDS FM hao hao ndio walikuwa vinara wa kuripoti matukio ya kwa babu
 
As long as shaban madobe anakufahamu na wewe unaonekana kumfahamu basi una-exist kwenye real life...na inaonekana unatatizo kubwa tu sana...

Na ninywe sumu kwa kipi?!...wewe mtoto wa watu?!

Acha tabia za kike bwana mdogo

Au labda nenda kwa Gadner umzalie mtoto kama unaona hiyo kazi Commando kaishindwa

Si huyo shoga mwenzako wala wewe anayenijua. Hivyo bado, endelea kujaribu.
 
Clouds Fm hawafai msanii bila kuwahonga Ruge, maprisenter, maDJ na mashabiki wao wanaoRequest nyimbo (ummy kitwana na Daud wa kota), Hutoki TZ!

kama hizo Data zooote mnazo mnashindwa nini kuwauzia zigo la Senyenge kwa TAKUKURU?
Ili wakilibeba liwachome au wakiliburuza liharibu Barabara
 
Ungekuwa unataka watu wajali ya kwao ungeanza na wewe kwa kujali ya kwako na kuacha kuongelea maisha binafsi ya watu
Hivi, ulitegemea kwenye celebrities forum yaongelewe maisha binafsi ya paka? Hapa ni kuongelea maisha binafsi ya watu, na ndo maana forum hii ipo. Hapa ndo mahala pake, wataongelewa wakifanya lolote, liwe baya, zuri au vyovyote vile..
 
Teh teh mmemchochea mzee wa watu sasa kazi kwake.
Kikubwa tu atoe uthibitisho kuwa Kusaga na Ruge wanawanyonya wasanii.
pale ni mahakamani na atatakiwa athibitishe.

Kengeza litamnyooka lile.
Kuna watu stori za mitaani wanadhani zina lolote mahakamani...
 
Acheni upuuzi fanyeni kazi bana.
Kaeni chini mambo yaishe!!!
Ruge, Joe kusaga na Gardina wote wamoja
Mnafikiri kumpeleka Jide mahakamani ni
suruhisho la matatizo yenu wote wawili? Hapana
Kama kweli hii kampeni ya twende zetu inafanya kazi
basi ifanye kazi yakutatua huu mzozo wenu na Jide..
Kumbuka kuwa Jide ni zaidi ya mzao wenu...
Kaanzia kazi hapo clouds fm kapata mume hapo hapo
kapata jina hapo hapo clouds fm... Sasa nini tena?
Jide pia ni made in Tanzania bana....
Gardna pia ni rafiki yenu wa damu...
Naamini
 
Back
Top Bottom