Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Suala lako la kuwa mjamzito tunaomba ulifanye siri wewe na mumewo hatutakujua kama mnalingishiana na wenzako sisi halituhusu

Huyu jamaa anayejinasibisha na ile redio ananishangaza sana

Ndo maana ile redio wafanyakazi wake wanakashfa za ajabu ajabu

Mwanaume mzima unamdiscuss mke wa mtu tena kwenye masuala ya ujauzito?!
 
Huyu jamaa anayejinasibisha na ile redio ananishangaza sana

Ndo maana ile redio wafanyakazi wake wanakashfa za ajabu ajabu

Mwanaume mzima unamdiscuss mke wa mtu tena kwenye masuala ya ujauzito?!
Hawana kazi Marekani huyo ni bonge na alosto miaka kumi na kenda kaenda majuu kurdi hawezi ana stress za kufa mtu kaachwa na mzungu rent kimeo nakuambia JF ikiwa down wanakufa hawa
 

Matangazo gani ambayo unasema yapo huko na kwenye redio za "kipuuzi puuzi"(kwa fikra zako)hayapo?
 

Jide amesema yeye sasa ni COMMANDOO AKA AMACONDA. Si Binti Machozi tena. Yeye ni JIDE aka LADY JAY DEE. Mbebs wa Ukweeeee . . . You Know. Kama vipi majuu mjipange upyaaaa na Clouds wafute kesi tuendelee kuangalia Movie . . . Si tumetoa kiingilio bana! . . . Dadeki!
 
Hujasikia anaitwa Bilali wa Kinondoni uliza watu PM watakupa kila kitu chake wewe ushaona wapi mwanaume anaulizia mimba za wanawake,eti hajashika mimba

Kwa hiyo wewe unaitwa Madame S? Na wewe umemjuaje? Au ndo huwa mnakutana kwenye yale mambo yenu?
 
Hawana kazi Marekani huyo ni bonge na alosto miaka kumi na kenda kaenda majuu kurdi hawezi ana stress za kufa mtu kaachwa na mzungu rent kimeo nakuambia JF ikiwa down wanakufa hawa

Ananiambia anamaisha mazuri kunizidi!!!

Kisa Marekani miaka kumi?!

Inaonekana unamjua vizuri coz niliona kwenye ile post ya yule Gay basketballer ulimchomekea povu likamjaa usoni

Kanikera sana huyu jamaa,unajua hata kama tunatofautiana ila sio sawa kuingilia maisha binafsi ya mtu

Kama ni hivyo labda tungeanza kuulizia yeye huyo mama yake ni mama yake halali?!isije ikawa aliibiwa hospital?!
 
nilichogundua ni kuwa watanzania wengi tunapenda kushabikia vitu ambavyo havina mantiki. ukimuuliza mmoja mmoja nini anashabikia/kutetea, hataweza kukupa sababu makini. swala la jd binafsi sijajua malalamiko hasa ni yepi.
 
Kwani swala lililopo mahakamani ni lipi la mdhulumiwa kumtaja mdhulumu wake hadharani ama? Naona wazee wa magorofani wanajipanga kudhurumu mpaka kiduchu cha wasanii
ukikaa ndani ya nyumba ya vioo usipende michezo ya mawe. Jide aliyataka mwenyewa she is so pathetic and desperate anataka huruma za watanzania sasa hao aliowachokoza they seem to be one step ahead always!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…