Hivi, ulitegemea kwenye celebrities forum yaongelewe maisha binafsi ya paka? Hapa ni kuongelea maisha binafsi ya watu, na ndo maana forum hii ipo. Hapa ndo mahala pake, wataongelewa wakifanya lolote, liwe baya, zuri au vyovyote vile..
Anzieni popote pale, the issue is hapa ndo mahala pekee pa kujadili maisha binafsi ya watuUnajua nilipoanzia na huyo mtu?
Kuna watu stori za mitaani wanadhani zina lolote mahakamani...
Ngabu ni pro-clauds kwahiyo msimamo wake siku zote unajulikana.
Anzieni popote pale, the issue is hapa ndo mahala pekee pa kujadili maisha binafsi ya watu
Source inapokuwa Global publisher huwa napata shida kuamini
Wewe umelala nini maana inaonekana umepost 10:47kama utaki kalale
Yah ukeli ndo huo,this might be the plan!Another "planned diversion" from issues of National interest.....
Huu ujanja ujanja wa kuwatumia wasanii kujipatia kipato ni vyema sasa ukasemwa NO,hivi kuna ulazima gani wa kukomaa na mtu wakati anajitaftia kivyake? acheni watu wapate ridhiki zao pasi ya nyie kuwatumia? hata idd amini dada alikuwa hivyo,alitumia power aliyonayo kuwaumiza watu,lakini mwisho wasiku yalikwisha na sasa uganda ipo huru
na wasanii mtakuwa huru,kila jambo litapita.hamtafaidi nyinyi matunda haya anayoyapanda JD sasa,watafaida watakao kuja,lakini msikate tamaa,komaeni
hakika !
Unaweza lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Clouds imedominate soko la mziki.Tumechoka kila siku JIDE au KUSAGA. Hivi huwezi kuwa mwanamuziki bila ya CLOUDS. Au hakuna kazi zingine . Utumwani uende mwenyewe harafu uje ulalamikie hapa