Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Yaan clouds wajipange upyaaa...anaconda team tupo wengi hatarii...
 
sina bifu naye. Ni kwamba tu naona kanunua bifu ili kupromoti album yake mpya.

Sasa ili apate free publicity akaamua ku pick fight na goliath, so to speak.

Kwa vile clouds ni chama kubwa nadhani calculations zake ni kwamba umma utamuonea huruma, utakuwa upande wake, na kununua album yake mpya.

Her beef ain't genuine. It's phoney baloney coconut bacon.

well said lady jay dee hana point yoyote kwakweli nimewasikiliza wote, jide anatafuta tu auze album yake na kwenye hiyo shoo yake.. Hata kwenye tweets zake maranyingi sana hua anamalizia na ~jotohasira.. Nadhani ndio jina la hiyo album yake.. Amepigwa bao na skylight band akae ajipange afanye nini awavute tena wale wateja walioenda skylight.. In short huyu dada amechanganyikiwa na hili... Nilikua namuheshimu sana huyu dada namuona mbulula tu sasa.. Ooh et nimetoa 240,000 mbona matangazo yangu hayapigwi,, oooh mbona mna promote sana skylight band.. Hey come-on jipange
 
Ni mburula wa mwisho kabisa.

Sijui hawezi kushika mimba azae atulizane alee mwanae? Ebo!!
 
Sasa hata wewe shangaa!

Mimi mpaka sasa specifically sijui anacholalamikia ni nini. Afadhali hata Sugu alikuwa analalamikia kuhusu mradi sijui wa vyandarua au sijui malaria nini nini sijui.

Lakini huyu binti mimi sijajua hasa anacholalamikia ni kipi mahsusi. Analialia tu huko kwenye twitter na facebook na kwenye kiblogu chake.

Na kama kweli angekuwa na hoja madhubuti pamoja na ushahidi wa mabaya aliyofanyiwa basi angefuata legal recourse ili kama akishinda apewe fidia. Lakini hapana, hakuthubutu kufanya hivyo. Kwa nini? Kwa sababu hata yeye mwenyewe hajui anachokilalamikia. Kachanganyikiwa tu.

Bila kuainisha madai yake ni ngumu kwa watu wenye akili timamu kumuelewa. Wanaomshabilia wengi ninawaonaa ni wafwata mkumbo au wako value-laden against clouds au hawa watu wawili.

Hivi menopause inaanza kwenye miaka gani vile...hahaha anataka ahiti miaka yote ya maisha yake hata kwa kulazimisha...akubali kuwa sanaa ni ubunifu wa kila siku, bila kubuni mambo mapya inafika wakati washabiki wako hawaoni kipya na hivyo wanakuona wa kawaida tu....JIDE yuko kwa stage hii
 
Bado hiyo thread ni utata, "

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo"
.

Sasa swali linakuja yeye kafunguliwa kesi then yeye mwenyewe akakabidhi hati ya mashtaka inakuwaje hapo?

La pili

"Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu ,Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu".

Katika kesi za madai tuhuma huwa hazisomwi mahakamani labda km kesi ni ya jinai, kwa faida ya wengine kesi za madai huwasilishwa mahakamani kwa kutumia hati ya madai(PLAINT), Baada ya kuwasilishwa WITO hutolewa na mahakama kwa mdaiwa na unaweza kuwa wito wa kufika mahakamani au wito wa kujibu madai.

Na kama ni wa kufika mahakamani basi akifika atapewa hati ya madai iliyowasilishwa na atapewa siku 21 za kuwasilisha majibu ya mdai baada ya hapo kesi itaendelea kwa hatua zingine km vile pre-trial conference ambapo ktk hatua hii nyaraka zote za kesi zinakuwa zimekamilika,hakuna nyongeza,mashahidi wangapi kila pande inategemea kuwaita,na ndio wanapanga kesi itachukua muda gani kumalizika then itafuata mediation ikishindikana wanaenda katika full hearing. Hakuna kusomewa hati ya mashtaka!

ahsante mkuu kwa kutfumbua
 
BKIp6FICIAEA-Ey.jpg
 
Ruge na Clouds fm kwa ujumla wanazidi kuudhihirishia UMMA jinsi gani media hii inavyonyonya kazi za sanaa ya mziki wa kizazi kipya tz.

Joseph Kusaga anapaswa kujua siku hizi mahakama haipelekwi kwa matakwa ya wenye pesa kama zamani.
Hii kesi inazidi kuwachoresha clouds fm na team yao yote ya unyonyaji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
TEAM ANAKONDA
Maoambano yanaendelea kitaeleweka tu haki ya mtu huwa haipotei ila inAchelewa tu
 
Anapewa support na watu ambao wanafuata mkumbo tu.. eti Team anaconda.. WTF watu wenye akili zao hawaone kitu solid anacholalamikia huyu dada. ameishiwa mbinu inshort tafuta strategy mpya ya biashara yako ya bendi ili watu weekends tusiende skylight tuje nyumbani kama zamani kuliko kulalamika.. nahii kesi ruge na mwenzake wakikomaa huyu dada hatoki...mfano mdogo wa watu wanaomsaport ni mambulula kama yeye ile siku ruge aliposema kwamba radio yake siku hiyo isipige nyimbo za bongo flavor.. watu wakaanza eeh jide ndio commado amewafanya clouds wasipige bongo flavour..wakati yale yalikua tu maamuzi ya ruge kuonesha kwamba clouds ni private so wanaamua chochote cha kufanya
 
Ruge na Clouds fm kwa ujumla wanazidi kuudhihirishia UMMA jinsi gani media hii inavyonyonya kazi za sanaa ya mziki wa kizazi kipya tz.

Clouds FM inanyonya kivipi kazi za sanaa ya muziki wa kizazi kipya?

Joseph Kusaga anapaswa kujua siku hizi mahakama haipelekwi kwa matakwa ya wenye pesa kama zamani.
Hii kesi inazidi kuwachoresha clouds fm na team yao yote ya unyonyaji.

Inashangaza sana kuona wale wanaodai wananyonywa kutokwenda mahakamani kudai haki yao huko! Inashangaza kwa kweli.
 
Sina bifu naye. Ni kwamba tu naona kanunua bifu ili kupromoti album yake mpya.

Sasa ili apate free publicity akaamua ku pick fight na Goliath, so to speak.

Kwa vile Clouds ni chama kubwa nadhani calculations zake ni kwamba umma utamuonea huruma, utakuwa upande wake, na kununua album yake mpya.

Her beef ain't genuine. It's phoney baloney coconut bacon.

nafikiri anaitumia fursa hii vizuri,kama ruge anavyohubiri
 
Wewe ulitaka wakimbilie wapi sasa kama wao wameona kuwa wamechafuliwa?

Mkuu Nyani Ngabu twende taratibu tu mkuu wangu tutafika salama salimini.

Tumemsikia kwa masikio yetu na kumsoma kwa macho yetu Ruge akijibu mapigo ya Jide kupitia redio yake ya clouds fm, kama ambavyo aliwahi kufanya wakati wa bifu lake na Mr. Two Sugu na hatukumuona akikimbilia mahakamani.

Baada ya kupatikana nafasi ya usuluhishi wote wawili walikubali kukutanishwa na kuyamaliza kwa faida ya pande zote mbili na sanaa kwa ujumla wake.

Hata katika sakata hili ukweli uko bayana kwamba kila upande una support ya wananchi. Wapo watu wanaokubaliana na kuunga mkono kile kinachofanywa na clouds fm pamoja na wakuu wake Ruge na Kusaga. Lakini pia wako watu ambao hawakubaliani nao na wanamuunga mkono Jide kwa uamuzi wake wa kusimama dhidi ya Clouds media na wakuu wake.

Kwahiyo huu ugomvi kadri unavyoendelea mwisho wake ni kuwagawa wasanii na mashabiki wa sanaa katika makundi hayo mawili. Kwa ajili ya manufaa ya sanaa na wasanii lilikuwa ni jambo la msingi sana pande hizi mbili zikakutanishwa kwa ajili ya usuluhishi kama ambavyo wote wamekiri katika mazungumzo yao.

Baada ya Ruge kumaliza kujibu mapigo clouds fm na kusema yuko tayari kwa usuluhishi, wengi tulitarajia kutafanyika juhudi za makusudi na haraka kuwakutanisha hawa watu lakini kinyume chake tulipata habari kuanzia katikati ya wiki iliyopita kwamba Ruge na Clouds wameamua kukimbilia mahakamani.

Ni haki yao ya kikatiba lakini kwa kuzingatia mwenendo wa kesi katika mahakama zetu, kesi hiyo inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kutolewa hukumu na hivyo katika kipindi chote hicho kutaweza kutokea mpasuko mkubwa sana wa kijamii kulingana na support ya wasanii na wananchi kwa upande wanaouunga mkono, kitu ambacho kitakuwa ni hasara kwa sanaa na wasanii na hakutakuwa na manufaa yoyote katika ustawi wa sanaa ya muziki hapa nchini.

Kwahiyo Ruge na clouds walitakiwa kutumia busara zaidi kuliko sheria hata kama ni haki yao ya kikatiba na hawazuiwi kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Inashangaza sana kuona wale wanaodai wananyonywa kutokwenda mahakamani kudai haki yao huko! Inashangaza kwa kweli.

Kwa mahakama zetu za Tanzania ni mara chache sana wanyonge huipata haki yao huko. Wenye fedha ndio wana uhakika wa kupata haki huko hata kama si stahili yao.
 
Mkuu Nyani Ngabu twende taratibu tu mkuu wangu tutafika salama salimini.

Tumemsikia kwa masikio yetu na kumsoma kwa macho yetu Ruge akijibu mapigo ya Jide kupitia redio yake ya clouds fm, kama ambavyo aliwahi kufanya wakati wa bifu lake na Mr. Two Sugu na hatukumuona akikimbilia mahakamani.

Baada ya kupatikana nafasi ya usuluhishi wote wawili walikubali kukutanishwa na kuyamaliza kwa faida ya pande zote mbili na sanaa kwa ujumla wake.

Hata katika sakata hili ukweli uko bayana kwamba kila upande una support ya wananchi. Wapo watu wanaokubaliana na kuunga mkono kile kinachofanywa na clouds fm pamoja na wakuu wake Ruge na Kusaga. Lakini pia wako watu ambao hawakubaliani nao na wanamuunga mkono Jide kwa uamuzi wake wa kusimama dhidi ya Clouds media na wakuu wake.

Kwahiyo huu ugomvi kadri unavyoendelea mwisho wake ni kuwagawa wasanii na mashabiki wa sanaa katika makundi hayo mawili. Kwa ajili ya manufaa ya sanaa na wasanii lilikuwa ni jambo la msingi sana pande hizi mbili zikakutanishwa kwa ajili ya usuluhishi kama ambavyo wote wamekiri katika mazungumzo yao.

Baada ya Ruge kumaliza kujibu mapigo clouds fm na kusema yuko tayari kwa usuluhishi, wengi tulitarajia kutafanyika juhudi za makusudi na haraka kuwakutanisha hawa watu lakini kinyume chake tulipata habari kuanzia katikati ya wiki iliyopita kwamba Ruge na Clouds wameamua kukimbilia mahakamani.

Ni haki yao ya kikatiba lakini kwa kuzingatia mwenendo wa kesi katika mahakama zetu, kesi hiyo inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kutolewa hukumu na hivyo katika kipindi chote hicho kutaweza kutokea mpasuko mkubwa sana wa kijamii kulingana na support ya wasanii na wananchi kwa upande wanaouunga mkono, kitu ambacho kitakuwa ni hasara kwa sanaa na wasanii na hakutakuwa na manufaa yoyote katika ustawi wa sanaa ya muziki hapa nchini.

Kwahiyo Ruge na clouds walitakiwa kutumia busara zaidi kuliko sheria hata kama ni haki yao ya kikatiba na hawazuiwi kufanya hivyo.

Hivi anacholalamikia Jide, mahsusi (specifically) ni nini?

Unaweza ukaniorodhoshea madai yake specifically, kwa mfano tu, terehe 12, mwezi wa saba, mwaka 2012, aliingina mkataba na Clouds wa kulipwa shilingi tuseme 300,000 kwa kutumbuiza Mango Garden, lakini Clouds hawakumlipa hicho kiasi walichokubaliana kwenye maandishi na wakaishia kumlipa 75,000 tu na kusema kwamba onyesho lake halikuwa la kiwango cha kulipwa 300,000 licha ya kukubaliana hivyo kimkataba hapo awali.

Sasa, kwa kutumia mfano huo hapo juu, waweza kuniorodheshea madai ya huyo binti?
 
ana bahati sana JD,amwulize Sugu,aliwekwa ndani siku ya uzinduzi wa project ya maralia no more.ashukuru mungu hajaitwa siku ya uzinduzi wa shoo yake.
haya yana mwisho,hakuna jambo lisilo na mwisho.

Mkuu usiseme kwamba ana bahati. Leo ni tarehe 13/05 na show ni Jumatano tarehe 15/05 kwahiyo lolote linaweza kutokea kuanzia sasa hadi hiyo jumatano.
 
Every time one opens his or her mouth and talks about about someone, they open themselves up for legal liability.

My thing with that girl is, if she has a genuine complaint about being unlawfully exploited why didn't she go to court first instead resorting to throwing shade through social media?

If she doesn't want herself dragged to court then she should shut the hell up and mind her own business, literally and figuratively.

Ngabu, Ngabu please be critical there is no just law but valid one. Even if mawingu wins, does not mean the judgement is just, it will be a result of laws that was made by haves in favour of themselves to deprive the rights of have nots. I think we commonmen from the street will judge right comparing with those who sit on high seats and tables, the so called the learned.
 
Back
Top Bottom