Clouds FM inanyonya kivipi kazi za sanaa ya muziki wa kizazi kipya?
Inashangaza sana kuona wale wanaodai wananyonywa kutokwenda mahakamani kudai haki yao huko! Inashangaza kwa kweli.
wamepata nafasi nyingine ya kupatia hela. hawa jamaa clouds ni zulumati sana. ndo maana jide kasema wana mamilion lakini wanatamani hata mia mbili zangu. kwa ufupi jide kawakamata pabaya. mia
Sina bifu naye. Ni kwamba tu naona kanunua bifu ili kupromoti album yake mpya.
Sasa ili apate free publicity akaamua ku pick fight na Goliath, so to speak.
Kwa vile Clouds ni chama kubwa nadhani calculations zake ni kwamba umma utamuonea huruma, utakuwa upande wake, na kununua album yake mpya.
Her beef ain't genuine. It's phoney baloney coconut bacon.
kapick bif na goliath,.....but daudi ndo alishinda na udogo wake
Hawa majamaa wakizidiwa wanakimbilia mahakamani sijui kesi yao na mapacha iliishia wapi? kutokana na mfumo mmbovu wa mahakama zetu zimekuwa chaka la kufichia maovu! Afu hapa mh haki kutendeka kizungumkuti hakimu ni ATHUMANI NYAMLANI mgombea wa urais TFF hope anatagemea debe la sports extra promo za PB upambe wa Shafii Dauda and etal plus lobbying power ya kina Ruge! Jide aendeleze harakati tu ka wengine waliowapotozea clouds!
Jide, atashinda kesi.
`wewe nawe usinichimbe ndo maaana nikasema haijawahi kutokea kwenye social forums.
Au jukwaa la siasa mwenzetu unaliingiza kwenye social forums??
`wewe nawe usinichimbe ndo maaana nikasema haijawahi kutokea kwenye social forums.
Au jukwaa la siasa mwenzetu unaliingiza kwenye social forums??
kapick bif na goliath,.....but daudi ndo alishinda na udogo wake
Sawa,na in the court of public opinion tutakuwepo na akina sisi tuki-pushback hizo smear attacks zenu.
So bring it on or come baby come (in Miguna's face and voice)
Nilidhani ruge na kusaga walivyojibu hoja kwenye media yao yaliisha...kumbe wameamua kumpeleka jide mahakamani?...now naamini wana-nia ya dhati kummaliza jide kimuziki..now naamini jide pamoja na kulia kilio kilichopoteza mwelekeo bado anahitaji kusikilizwa ili mtaani tutoe haki "streets justice"...maana naona hawa mabwana wanataka kutumia pesa na vijisenti vyao hata ikiwezekana watoe uhai wa wapinzani wao ki-biashara kwa mgongo wa mahakama.... Possibly itakuwa ni business defamation case ambayo hukumu ni kulipa fidia kubwa kusafisha jina lao.
Jide..please wasiliana na sugu tuone vinega wanaingiaje hapa na kukutetea...mahakama watakuzuia kuliongelea bifu lako kwakuwa kesi ipo mahakamani then itakaa 2yrs na ikitoka unapigwa fine 2billion tshs then unafunga na mgahawa wako na machozi band then unarudi kijijini kwako kulima mihogo.
Damn....joe n ruge..y cant u let this girl go...what do u really want 4m her?...her life?????..telll me psee whatttttttt?...you are grown-ups now "thugs turned businessmen...what else do u need???
Kwani swala lililopo mahakamani ni lipi la mdhulumiwa kumtaja mdhulumu wake hadharani ama? Naona wazee wa magorofani wanajipanga kudhurumu mpaka kiduchu cha wasanii