Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.

Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.

Source:Global publishers
intrecting:confused3:
 
Unajuwa uchawi si mpaka uloge mtu. lakini hata hawa jamaa wanaomdhulumu huyu dada ni wachawi. hawana huruma hata kidogo. yahani pale klaudz akina kibonde kumiliki simu za blackbery wanajiona matajiri sana. Hao wezi wanapenda kuchumia kwenye migongo ya wengine hawatakuwa na mwisho mzuri kabisa. Mungu atawalaani,
 
Jide ni mwanamuziki mwenye pesa kuliko wote Tz kwa kipindi kirefu(maybe kuna changes now) hivi inakuwaje hapa kwa hawa clouds yeye anaonekana kama mtoto anaonewa? Hii inaonyesha wazi ni jinsi gani wasanii wetu walivyo maskini.Anyway wanaompenda Jide na kumfahamu ni wengi zaidi so i hope huu ndio muda wa kuonyesha support kwake.Malalamiko kuhusu Clouds yameanza siku nyingi,tena kutoka pande mbalimbali sioni kama hili lina uhusiano wa Jide kutaka kuuza album yake.Anyway tuone huko mahakamani nini kitatokea,kama mahakama hizihizi zimemfutia mashitaka Lwakatare japo kesi wametengeneza 'wenye nchi' ndio sembuse hili la kituo cha redio?
 
`
hahahahahahaha ok, lakini mbona kama umepanic? calm down amu hivi unatumia kahawa?

rutta umeshawahi kuniona nimepanic??
nilikujibu kama ulivyonijibu by the way mi mwanamke bwana kahama itasababisha nibleed sana.
May be pepsi inanitosha na ahsante eee
 
Ni mburula wa mwisho kabisa.

Sijui hawezi kushika mimba azae atulizane alee mwanae? Ebo!!

Watu wanaongelea masuala ya muziki we unaingiza masuala ya mimba...hizo tabia waachie wanawake

Haufanani na hayo maneno yamekaa kimbea zaidi...watu wataanza kukuzingatia!

Clouds wanyonyaji hili haliitaji darubini kuliona wasanii wenyewe wanaongea we unaongea masuala ya watu kwenda mahakamani hawa watu wameamua kunyonya kwa njia yoyote hata kwa kutumia rushwa mahakamani msanii gani ataenda mahakamani ashindwe kwa Rushwa alafu aanze kulipa magharama(mfumo wa mahakama kibongo ni rushwa tupu)ya kesi kwa sh laki moja moja hizo wanazolipwa kwenye show!!

Clouds siku zao zinahesabika hii haina ujanja hata kama watashinda hiyo kesi,ila the big picture is on the way watu wameamua kupambana na hawa Wadhulumati

Pia tuanze kuhoji uwezo wako wewe wa kuzaa ndo tuongelee watu wengine
 
#jotohasira

Clouds wanaenda kupotea watu wanaongelea kujaza show za bure eti ndo kigezo cha kukubalika!!

Bongo kuna uhaba wa Burudani ndo maana wabongo wanajichanganya tu ikitokea

Hata mimi ningeamua kuweka show ya bure na kuleta wasanii ningejaza Jamhuri Stadium

Clouds hela yangu walikula kwenye show ya Busta tu hawatakuja kuona senti yangu tena wezi hawa

#jotohasira ndo habari ya mujini Ru-Gay anaangaika sana
 
#jotohasira

Clouds wanaenda kupotea watu wanaongelea kujaza show za bure eti ndo kigezo cha kukubalika!!

Bongo kuna uhaba wa Burudani ndo maana wabongo wanajichanganya tu ikitokea

Hata mimi ningeamua kuweka show ya bure na kuleta wasanii ningejaza Jamhuri Stadium

Clouds hela yangu walikula kwenye show ya Busta tu hawatakuja kuona senti yangu tena wezi hawa

#jotohasira ndo habari ya mujini Ru-Gay anaangaika sana

Clouds imepotee kwa ajili ya vi comments vyenu humu? Labda hizi comments zingetoka kwa wanaowapa matangazo Clouds hapo ningekuelewa. Radio inaendeshwa na matangazo na ukitaka kujua ni brand kubwa karibu kila kipindi na vi-segment vyake vinakuwa na sponsors. Hamna kampuni ya maana inaweza kupeleka matangazo yake kwenye media za kipuuzipuuzi.
 
Sijui hawezi kushika mimba azae atulizane alee mwanae? Ebo!!
Suala lako la kuwa mjamzito tunaomba ulifanye siri wewe na mumewo hatutakujua kama mnalingishiana na wenzako sisi halituhusu
 
Back
Top Bottom