CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX

CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX

Hilo Tamasha La Sugu Nna Wasiwasi na Kufanyika,.Najua Intelijensia Ya Polisi itatuambia Al Shaabab Wana Mpango Wa Kulipua..Kwa Kuwa Ni Tamasha la Wazi
 
Sugu ni kama mvua! Radio ya wafu hawawezi zuia mvua!! Sugu ni jeshi la mtu mmoja.
 
Da thanks kalila kwa info kumbe mzee wa benzi jekundu(FA) ni bonge la snitch,Sugu moto chini dawa ya jeuri ni kiburi nimemkubali kwa harakati zake

Tena sugu kamchana kuwa kaahidiwa na ruge kuwa atapewa ubunge wa kuteuliwa my ass mimi nawashangaa wakina prof jay, fid q msanii mkubwa unawekwa kundi moja na kina dogo janja shame na asipoangaliwa atapelekwa tht akaimbe kiduku nampa big up sana a.y yeye anaangalia maslai nje wengine wanasubiri fiesta ya kulipwa laki
 
Hawa kina Ruge ni wachovu tu na majizi,kama kweli wana ubavu wasitulete wachovu kama kina DMX waje watuletee kina Dr. Dre,Snoppy,Drake,Rihana ndo tutawaona wakweli
 
Sababu pekee nliyonayo kusikiliza Clouds Fm ni Michezo, sometimes Njia Panda. Wengne masnitch tu..

Sugu moto chini!Watachemka wenyewe
 
Subirini Haraka ya Nini.?.....ila Nasikia anashuka DMX toka USA..mzee wa ruf ryder
 
Show ya DMX hata bure siendi!! Siku hiyo ni kuimba pamoja na vinega tu.
 
Tena sugu kamchana kuwa kaahidiwa na ruge kuwa atapewa ubunge wa kuteuliwa my ass mimi nawashangaa wakina prof jay, fid q msanii mkubwa unawekwa kundi moja na kina dogo janja shame na asipoangaliwa atapelekwa tht akaimbe kiduku nampa big up sana a.y yeye anaangalia maslai nje wengine wanasubiri fiesta ya kulipwa laki

True dat dogo janja na prof jay kwa ruge anawachukulia sawa lol kweli njaa itawaua sana hawa kina jay,fid yani nashangaa tungo zao za kibabe kumbe ni maboflo tu kwa ruge
 
Pigeni kelele ila ukweli utabaki pale pale......matamasha ya clouds yanabamba...staki kuongea kishabiki wala kinafki...ila kwa upande wangu nitaenda kwa ruge...
 
Kabisa hapa inabidi sugu na crew yake ya peenlawyer wafanye promo ya kufa mtu maana navyomjua ruge kwa promo hajambo anaweza akapiga tangazo mara 1000 kwa siku
nasikia pia an2mia kamati za ufund kuharib matamasha yanayo andaliwa
na wadau wengine wa mziki.lisemwalo lipo.
 
Sugu atafanyia wapi?maana ntakuwa Dar that day lazima niende! itakuwa wapi tafadhali
 
Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye anazindua album yake ya ANT-VIRUS II tar. 26/11/2011.Clouds Fm wamejibu kutokana na Mh sugu kupitia kampuni yake ya Deiwaka kufanya Tamasha siku hiyohiyo ambyo nao clouds walikuwa wanafanya tamasha lao la Fiesta mbeya.

Nawasilisha

DMX mwenyewe keshakuwa zilipendwa huyo. Clouds hawana jipya hahahahaha
 
Hivi wale kikosi chA mizinga watakua upande upi wa sugu au wa bwana rugemalaria no more?????mi upande watakaokuwepo wale ndio ntatia timu,wale nawakubali sana wako real!!
 
Back
Top Bottom