Tetesi: Clouds FM yaacha kumuunga mkono Ali Kiba

Kiba si aanzishe tu tamasha lake:
Kibakuli Festival
 
Kaz kwel kwel , ila Kiba anafanya mziki hobby na sio commercial, mambo ya timu wanamlazimisha tuu, japo nathamin juhudi ya mond, nafkr Ally Kiba ni mtunzi Bora wa mashairi kuwah kutokea kwenye historia ya bongo fleva
Sio kweli ungeniambia kuhusu sauti nakubali pili kiba sio mkali sana kwenye kuandika ila kwenye masauti Huyo diamond akasome ila kwenye kuandika mond kamzidi kiba mbali tu
 
Kuandika matusi?

smbugina samamba,.. ndo kujua kuandika?
 
Kaz kwel kwel , ila Kiba anafanya mziki hobby na sio commercial, mambo ya timu wanamlazimisha tuu, japo nathamin juhudi ya mond, nafkr Ally Kiba ni mtunzi Bora wa mashairi kuwah kutokea kwenye historia ya bongo fleva
That's according to you. for me ni mwana fa + marehemu ngwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…