Tetesi: Clouds FM yaacha kumuunga mkono Ali Kiba

Tetesi: Clouds FM yaacha kumuunga mkono Ali Kiba

Kwa kigezo kipi boss
Kaz kwel kwel , ila Kiba anafanya mziki hobby na sio commercial, mambo ya timu wanamlazimisha tuu, japo nathamin juhudi ya mond, nafkr Ally Kiba ni mtunzi Bora wa mashairi kuwah kutokea kwenye historia ya bongo fleva
 
Watu,mitambo inahitaji pesa...wekeza pesa upate pesa,hakuna cha bure ulimwengu huu. Ata hewa safi tunaipata kwa sababu tunatunza mazingira
 
Nachompendea kiba,anasemwa na watu ambao hawaamin ukali wake ila wanaojua ukali wake hawamsem sana,ss kama dai ndo mkali kwa nn mnamshindanisha na Kiba? Si mkae na ukali wenu? Team dai haiwez kupita bila kumsema Kiba,ila team kiba haimsem dai,kweli mkali tu...King Kiba
 
Thread closed.
6d99ccfdf5a17cb075f44e34308fc388.jpeg
 
Mtaumia sana na maisha ya Kiba, anaishi maisha yake hahitaji nguvu kubwa sana kufanya afanyacho, maisha yake yanaenda vizuri sana, muziki wake unasonga, biashara zake zinaenda, kumuwaza kiba kwa ubaya ni matumizi mabovu ya ubongo. Msikilize leo Ally Kiba kwenye XXL ya CLOUDS FM..
 
Wadau hivi ni kweli katemwa pale Mawingu FM maana naona hata ngoma zake hazipigwi sana

Hata hii ngoma mpya ya Mshumaa hakwenda kuiachia pale XXL kama ilivyo kawaida yake

Je swala hili lina ukweli wowote?
yaani wewe Unahitaji kufahamu nini kinaendelea ila hujui uanzie wapi kuuliza,

Ngoma ya Ali Kiba inapigwa sana, na Leo Asubuhi kwenye Power Breakfast Fredwaa kaicheza, Juzi tu kwenye JAHAZI imesikika, hujui uulizacho,

Clouds wanaratiba ya Fiesta Dar, pia wameishapita Mikoani kifupi ratiba yao iko fixed
EFM wanaprogram zao kwa Dar za Mziki Mnene wako fixed

Media iliyobaki na wana nafasi ni EA TV & Radio ndio maana kushirikiana na wadhamini wakaamua waende huko, usimuangalie tu Ali angalia pia na Sponsors walioko nyuma yake
 
kuna kitu kinanishangaza na watanzania na si kwa ubaya hivi ni kila ngoma huchezwa kwa redio?
na kama si hit song bado itachezwa i think mnafuata majina sana na hiyo ndiyo inaua sanaa
presenter anayeijua kazi
yake hucheza nyimbo kwa kuwa ina vigezo vya kuenda hewana wala si kwa sababu ya jina kiba kabebwa na media zenu sana lakini hasogei popote ju hana mizi ya maana
 
Back
Top Bottom