Nyangaramera
Member
- Jan 19, 2017
- 59
- 43
Kaz kwel kwel , ila Kiba anafanya mziki hobby na sio commercial, mambo ya timu wanamlazimisha tuu, japo nathamin juhudi ya mond, nafkr Ally Kiba ni mtunzi Bora wa mashairi kuwah kutokea kwenye historia ya bongo fleva
Huna akiliiiMtunzi mzuri fid q tu.
Ni maoni yako pia, nayaheshimu.Huna akiliii
Umesababisha mleta mada kakimbia Thread yakeThread closed. View attachment 1262889
yaani wewe Unahitaji kufahamu nini kinaendelea ila hujui uanzie wapi kuuliza,Wadau hivi ni kweli katemwa pale Mawingu FM maana naona hata ngoma zake hazipigwi sana
Hata hii ngoma mpya ya Mshumaa hakwenda kuiachia pale XXL kama ilivyo kawaida yake
Je swala hili lina ukweli wowote?