Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Hawakawii kumleta Ja Rule hawa[emoji3][emoji3]
 
Chris brown unatakiwa kutoa zaid ya Us dola 300000 ndo anapiga show, sio kazi ya kitoto kumleta huyo mwamba
Uongo, hata Drake ambaye ni wa gharama zaidi hafikii hilo dau
 
Hiyo ilikuwa mombasa hapo,nadhani alikiba naye alimuona brizzy for the 1st tym,na aliperform kama song zisizoid 5
Akavimba mbele ya CB eti hataki kuperform kabla ya Wizkid kwa kuwa yeye ni mkubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ushabiki wa kindezi wewe.
Watanzania wangapi wanauwezo wa kulipia show ya laki tano?
Wapo wenye uwezo wa kutoa laki 5 cash, je, wana interest na muziki?
Mimi binafsi hata umlete malaika kuja kutumbuiza siingii hata kwa bure.
Si mpenzi wa muziki.
Sasa umefata nini hapa kama sio ucchokko?[emoji848]
 
Uongo, hata Drake ambaye ni wa gharama zaidi hafikii hilo dau
Taarifa zote zipo Google, na hyo ilikuwa 2017, kama waliona kumpa diamond 100mil ni waste of money, wataweza Kwa huyo mdau
Screenshot_2019-09-16-09-36-25-464_com.android.chrome.png


Hapo ni nje ya cost ya kukwea pipa, go and return, hotel ya kisasa atakayofikia, na kazi yake ni kuimba nyimbo tano af anadandia ndege usiku huo kurudi virginia
 
Back
Top Bottom