Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

CLOUDS WANATAKA KUTUMIA NGUVU KUUUBWA KUSHINDANA NA ZAMA
 
Wewe ndiyo unaota, mtu kuwa mweusi haimaanishi kuwa yeye habagui weusi.
Jamaa ni mbaguzi.
Thibitisha alipobagua watu weusi
.
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa miziki yake, mtindo wake wa maisha na nina tabia zinazofanana na yeye 80% sijawahi kuona akibagua watu weusi 99.9999% ya marafiki zake ni watu weusi kama yeye
 
Kuhusu Drake: Sidhani kama wana Ubavu

Screenshot_20190915-103922~2.jpeg
Screenshot_20190915-103954~2.jpeg
 
Kirisi buroun au dirake hawa ninao wajua mie au!?daaaaadeq........ngoja nikacheke kwanz nitarudi kucomment👣👣👣👣😂😂😂
 
CHRIS BROWN USD 900,000 (90 MILION KSH, 1.9 BILIONI ZA KITANZANIA), Hizo ni kama zifuatavyo makubaliano yalikuwa kati ya agency mojawapo ya London na mapromota wa Kenya Maarufu kama Wale Wasee Limited the Kenyan promoters, ambapo sept 30 chris brown alipewa 550,000 USD zikiwa ni $200,000 (Ksh20 million) kama za usafiri private Jet and $350,000 (Ksh35 million) pocket money au malipo yake binafsi. iliyobakia $350,000 (Ksh35 million) alilipwa alipowasili mombasa kama walivyokubalian C&P

Ni meicopy humu hiyo,kama wanawwza watamlete
 
Hiyo jaksi apo fiade c wanaanzisha CMG ingine arif.!!?😂😂😂👣👣👣👣
 
Back
Top Bottom