Dickson Mpemba
JF-Expert Member
- Jan 21, 2010
- 353
- 151
Hahahaahahaaaaaaaa maana smg haziwatoshanow atakuja na bomu
YAWAPASA WAWE MAKINI NA WAZINGATIVU KWENYE HILI....Bashite ndo mwenykiti wa ulinzi wa mkoa,
CLOUDS MEDIA WAJIONGEZE MAPEMA JUU YA HILO....Wakumbuke tu Makonda ndiyo Mwenye Mkoa wake na ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa tukipata taarifa zetu za kiinteligesia mnaweza kuifanyia hiyo Fiesta yenu Mkoa wa Pwani siyo Dar Es Salaam [HASHTAG]#WashambaHatujaribiwi[/HASHTAG]
Mkuu umeeka alama ya koma, nashauri malizia kauli yako!
EfmNamshauri asiende maana watamzomea kama walivyomfanyia tamasha la Times Fm. Bora atulie tu asije akang'ang'aniza mambo akahadhirika.
Nilichanganya aisee. Ahsante Mkuu
Fiesta inafanyika bila kibali?So what?
Ulinzi gani? RC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.Bashite ndo mwenykiti wa ulinzi wa mkoa,
Tamasha la fiesta Dar lifanyike Kibiti mkoa wa pwani iwapo dab atalete ubashite wake.Tamasha litazuiwa kama ni kweli