Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuotaTetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji moja atakaezindua usafiri wake binafsi mpya wa angani.
Muumba yupi huyo anaetoa afya njema ili ukaone makalio ya Giggy money yale yenye sugu kuntu?Sidhani kama BIFU linaendelea kwa kiasi hicho kama baadhi yetu tunavyodhani kwani JUZI kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kuna habari ya RC makonda kupokea mifuko 10,000 ya cement na mtangazaji alikuwa dr.ISACK.....
N:B; mtangazaji alitangaza hiyo habari na kutaja jina la RC kwa unyonge sana.
POINT yangu BIFU linapungua polepole mpaka ikifika zamu ya FIESTA DAR tutamuona tu.
Ewe MUNGU MUUMBA tunaomba Afya njema....
Hatari aisee"Mambo mawili ya kuyaheshimu sana ni Mungu na Technology". Ruge Mutabaha.