Tetesi: Clouds kumtosa Bashite Fiesta Dar.. Waalika wakuu wa mikoa yote kasoro Dar

Mnakumbuka mechi baina ya Azam na Simba?! Hiyo fiesta haina bahati!
 
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji moja atakaezindua usafiri wake binafsi mpya wa angani.
Endelea kuota
 
Yeye atakuwa na zile LAND CRUISER akifanya doria.
 
Muumba yupi huyo anaetoa afya njema ili ukaone makalio ya Giggy money yale yenye sugu kuntu?
Natafakuri kwa kina sijakuuliza.
Ukijib umejileta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…