Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)

Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?

Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata

Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.

Takataka kabisa.
 
View attachment 3140424

Clouds wanafanya mambo Kwa mazoea
 
Wakikua wataacha.

Yoda au nasema uongo?
 
Media nyingi bongo zinaboa, vipindi vingi ni kama vijiwe vya kahawa tu. Halafu wote wanaigana tu kupiga,story zisizo na maana. Au kuongelea simba na yanga 24/7/365
Kubet mtangazaji yeye kusomea kutangaza habari za kubet wanakiabisha Chuo cha Habari kinatoa wana Habari wabovu wabovu tu TSJ pumbavu mnatoa wanafunzi wanaojua kutangaza matangazo ya kubet tu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom