2gether As 1
Member
- Oct 20, 2022
- 29
- 33
Tukiambiwa watanzania wengi ni vichaa tukubali, sas Hilo ni swali la kumuliza mtu kama mbonyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote...😃😃😃Mtanzania ukitoa story za ngono na Simba na Yanga kichwani mweupe hadi sio poa.
Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)
Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?
Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata
View attachment 3140424
Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.
Takataka kabisa.
siku zote tunawashauri waTanzania kuwa wazalendo kwa kutazama TBC ukweli na uhakika, ninyi mnang"ang"ana huko, tazama sasa mmekwazwa huko mnakuja kulialia humu jukwaani ili kupata relief..Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)
Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?
Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata
View attachment 3140424
Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.
Takataka kabisa.
Hata tbc nawakumbuka kwenye kutangaza afcon, wanatumia lugha chafu sanasiku zote tunawashauri waTanzania kuwa wazalendo kwa kutazama TBC ukweli na uhakika, ninyi mnang"ang"ana huko, tazama sasa mmekwazwa huko mnakuja kulialia humu jukwaani ili kupata relief..
TBC ukweli na uhakika huwezi kukwazika kiasi hicho 🐒
Huwa namkubali Jabir Saleh(Kuvichaka) mtangazaji wa EFM kipindi cha The classic interview anazofanya uchoki kusikiliza na hata anapokuuliza swali unajikuta unafunguka tuu yaani ni burudani kusikilizaLeo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)
Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?
Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata
View attachment 3140424
Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.
Takataka kabisa.
Nimejisikia aibu sana, wamemvunjia heshima Israel Mbonyi.Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)
Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?
Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata
View attachment 3140424
Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.
Takataka kabisa.
Watangazaji wamejaa ngono akilini, kama wasanii kwa 955 na 5% iliyobaki na miraa na dawa za kulevya, sasa unategemea watamuuliza elimu, investment, kama anahubiri, kama ana saidia mayatima na wajane?Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba pengine Israel huwa anajichukulia sheria mkononi akimaanisha kwamba huwa anajichua (kupiga puli)
Sasa unajiuliza hivi kweli mwandishi kama huyu tena anamuhoji mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye anafanya media tour kuhusu tamasha la nyimbo za injili kuna haja gani ya kuuliza swali la kijinga namna hii?
Nimefuatilia mahojiano aliyowahi kuyafanya Israel katika nchi mbalimbali na vyombo mbali mbali vya habari nadhani interview hii amekutana na maswali ya kijinga kuliko kote alikopita. Yani watangazaji hawajaji organise nani aulize swali, aina ya swali na kwa wakati gani. Unakuta hajamaliza kujibu swali hili mwingine alishachomea lingine. Yanj hadi kiu ya kutaka kumsikiliza Mbonyi ikakata
View attachment 3140424
Clouds kwa ujinga huu alaf mjiite wa kimataifa kweli? Alaf mnafikiri kila mtu labda ni Shilole kwamba mnahoji masuala ya mahusiano? Yani nchi hii inawaza mapenzi tu.
Takataka kabisa.
= GarbageGabbage in gabbage out
Lugha imempiga chenga na hakujua alichoulizwa.ila ameshangaa sana media kubwa namna hii,Nimejisikia aibu sana, wamemvunjia heshima Israel Mbonyi.
Na mbona amejibu swali lao kwa hekima sana? Au ndio hakuelewa lugha imempiga chenga hadi kuchombeza na huo upuuzi?
Kwa jinsi alivyojibu mjadala ulipaswa kuishia hapo.