Clouds Media kuendesha shindano la DC bora, RC bora na Waziri bora. Washindi 5 wa kwanza kuzawadaiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.

Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.

Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.

Source Clouds 360
 
Mkuu wa Mkoa bora ni Antony Mataka.

Sasa acha wao walete ujuaji wa kumpa konda boy huo u RC bora ili waruhusiwe kufanya fiesta yao hapo Leaders.
 
Hahahaa..... Huyo Mtaka ni kwa maoni yako mimi namuona Gambo!
 
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.

Source Clouds 360
RC bora Anthony Mtaka DC bora Fabian Daqaro
 
Hizo ela za kuwapa zawadi ma-Dc, ma-Rc na Ma- waziri bora.

Si bora wangeboresha maslahi ya watumishi& wakurugenzi wao wanaolia lia HALI NGUMU kila kukicha kwenye mitandao.

Hiki kiherehere cha kutumia gharama kubwa kujipendekeza kwa awamu ya 5 ndo kinachowafilisi.

Fanya kazi ieleweke, utangaze jina watu walete matangazo yao kwenu.

KWA HIZI SHOBO,
Naona kabisa mnaelekea kabisa kupotea kwenye gemu kama lile CHOGO letu LA TAIFA.
 
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.

Source Clouds 360
Waache waendelee kujipendekeza
 
Wanatoka kumtangaza mshindi leo kesho kutwa anatumbuliwa! Hapa Cluods wamechemka kwakweli.......!!!
 
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.

Source Clouds 360
Mama mjema anatakiwa awe RC u DC ni kumuonea
 
Hawa ni mdc bora au warembo bora?
Sijaelewa.
 
Alaf wakivamiwa tena watafute public sympathy.....
Kidonda cha Fiesta dar hakijapona, washarukia upakachacha mwingine...
CMG imezoea kubebwa na serikali, bila hivo watafunga kituo.....
Very unprofessional and I'll behaving media in Tanz..
Wacha waendelee kulamba viatu....
 
Back
Top Bottom