johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360