johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naona wamesahau Waziri kivuli bora!Bashite lazima ashinde!
Hahahaa..... Huyo Mtaka ni kwa maoni yako mimi namuona Gambo!Mkuu wa Mkoa bora ni Antony Mataka.
Sasa acha wao walete ujuaji wa kumpa konda boy huo u RC bora ili waruhusiwe kufanya fiesta yao hapo Leaders.
Gambo?daah ngoja machalii wa R tukuangilie tu afu tunasema hiiiiiiiiiiiiiii,hahah.Hahahaa..... Huyo Mtaka ni kwa maoni yako mimi namuona Gambo!
RC bora Anthony Mtaka DC bora Fabian DaqaroMtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360
Waache waendelee kujipendekezaMtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360
Na Bashite asipotangazwa mshindi atawatengenezea bifu CMGWana tereza sasa, wabongo tulivyokua hatuna akili watachukulia personal.
Na kama mshindi anapigiwa kura, basi bashite hachukui, labda anunue watu wa kumpigia kura mchana kutwa.
Acha kukariri chagua viongozi bora!Waache waendelee kujipendekeza
Mama mjema anatakiwa awe RC u DC ni kumuoneaMtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360
Hawa ni mdc bora au warembo bora?Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.