Clouds Media mmemfanya nini 20%?

Clouds Media mmemfanya nini 20%?

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kis****e hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi flani ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongofleva kinachoongoza na Adamu Mchomvu. Mchomvu aliblame sana, tangia hapo jamaa kapuni.
 
"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kisenge hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi fln ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongo fleva kinachoongoza na Adamu Mchomvu.Mchomvu aliblame sana,tangia hapo jamaa kapuni.

Kama kweli alisema hayo, wala siunganishi dots ili kujua nn kimempata!
 
Kama kweli alisema hayo, wala siunganishi dots ili kujua nn kimempata!

Hata na mm nilipoyasikia hayo maneno,nikasema lazima yamtokee puani manake hawa jamaa hawakosei wakiamua.
 
Daaa alikua anatoaga nyimbo nzur sana so wamemfungia asiingie studio kurekod au hawachez nyimbo zake
 
Daaa alikua anatoaga nyimbo nzur sana so wamemfungia asiingie studio kurekod au hawachez nyimbo zake

Hawachezi nyimbo zake mkuu wakati ametoa nyimbo kibao zenye ujumbe mzito kama za zamani.
 
Hawa Mawingu kbl hata hujawapigia, wanaicheza! Sasa 20% kawapigia! Mungu wng!
 
hya ni matokeo ya kukosa vision ktk maisha kwani clouds ni nani mpk wasipopiga nyimbo yako maisha yanakuwa magum!
 
Hata na mm nilipoyasikia hayo maneno,nikasema lazima yamtokee puani manake hawa jamaa hawakosei wakiamua.

ndyo maana mi huwa namkubali sana msanii mmoja anaitwa big jahman hyu jamaa ana maduka yake ya nguo kadhaa so anapush maisha bila kutegemea nyimbo yake kupigwa clouds sasa km hyu 20 parcent hana vision yoyote usela mwingi na bangi! matokeo yake ndyo hya
 
Ila usela mav ni tabu sana, raia tulijipinda
kumpigia kura akaondoka na tuzo 5 fadhila
alizokuja kutulipa mashabiki ni kupuliza mibangi
hadharani, 20% please just go to hell, bahati haiji
mara2. Nakumbuka miezi michache baada ya
kutwaa tuzo 5 wasanii walikuja Mbeya kwenye
fiesta akiwepo na 20%. Kwavile wasanii walikuwa
wengi na mda ulikuwa umeenda B12 alikuwa
anawacontrol wasanii wasiimbe zaidi ya nyimbo
3, but alipoingia 20% akawa anataka kuimba
nyimbo zake zote sijui maana alikuwa anaimba
nyingine ambazo hata hatuzijui, B12 akamstua
'time' amalizie awape nafasi wasanii wengine cha
ajabu jamaa akazira akaweka mic chini akasepa
bila hata kuaga mashabiki. Yaani mashabiki
tukabaki tunashangaa tu alichokifanya jamaa.
Kuanzia sikuile sitaki hata kumsikia
 
20% bangi zinampeleka vibaya,clouds walichomoa tangia mwanzo kupiga nyimbo zake lakini Magic walikuwa wanazitwanga tu mpaka zikavuma na hapo ndio clouds wakaona hamna jinsi maana wasikilizaji wanazirequest sana ila alivyonyea kambi ya Magic chini ya Man Maji(Water) hapo ndio kajichimbia shimo.
 
Tatizo la "waswahili" ni kutofahamu kuwa KIPAJI huenda sambamba na NIDHAMU...huyu jamaa ni jamii ya kina Haruna Moshi a.k.a Boban.

Alikuwa anakaribia 90% ya mafanikio ya kimuziki, akavimba kichwa sasa amebakiwa na 20%.
 
Mibangi ilimchanganya akagombana na crew yake yote kuanzia man water media kama clouds na magic
 
show zake nyingi anaenda vijijini huko ..nilimkutaga Katika kata ya NANJILINJI anapiga show kamaa mara mbili hivi..jamaa kachookaa saana aisee..yupo kisela saana..wakati gari la matangazo linapita mitaani umati wa watu ulikua.mwingi pembezoni mwa barabara ili kumuona 20% nilimsikii mama mmoja akishangaa : huyu ndo 20% ?

jamaa anajiweka.rafu saana
 
Back
Top Bottom