Clouds media na msiba wa Langa!

Clouds media na msiba wa Langa!

Ruge systems at work! Mtasanda tu mwaka huu.

Kanumba, Ngwea japo mlitoswa na Familia ya Ngwea kwenye kushukuriwa baada ya kubaini janja yenu. Wazeee wa Fursaaaaaaaaaaàaa!
 
Yule mtoto familia yao iko Organized na wanajiweza hawawez wakawaachia vijana wa clouds waendeshe msiba wao na kuleta attention zisizokua na maana!
 
Clauz fm Ni wanafiki kama CCm na jeshi lao la Polisi.
 
Nimeskia aisee. Pia nimeskia Clouds ndo wameyatupa.
Vipi, Ruge, Kusaga na Clauds media wamekuajiri kuja kujibu post zao humu JF?
Maana kila wakiguswa tu, mbio mbio unakuja kujibu.

Please try to declare your interest first!!!
 
Vipi, Ruge, Kusaga na Clauds media wamekuajiri kuja kujibu post zao humu JF?
Maana kila wakiguswa tu, mbio mbio unakuja kujibu.

Na wewe umeajiriwa na CHADEMA kuja kuwapaka matope Clouds kwa kuwazushia uongo humu?

Please try to declare your interest first!!!

No, it is not about declaring your interests. You were supposed to say in the interest of dull disclosure, please tell us if you work for Clouds or if you are affiliated with them in one way or another.
 
Bwa'Nchuchu Bado sijaona uhusiano wowote wakukinzani kati ya CHADEMA na Clauds Fm.
I don't see any connection between those two, If you see any please tell us here.

CHADEMA haina utaratibu wa kuajiri watu kuja humu mitandaoni kujibu hoja, bali CHADEMA ina wapenzi wengi ambao ni 'Critical Thinkers' wanaopenda kujibu hoja mbalimbali zinazohusu CHADEMA.

Mimi nilisha Declare Interest humu JF kuwa ni ProCHADEMA na hilo liko wazi sana.

Ni wapi nimeipaka matope Clauds media humu JF? Ukweli unaowahusu nitausema tu, hata kama utawauma.

Sasa wewe tuambie una maslahi gani mahususi na Clauds media mpaka mapovu yakutoke kuja kutetea kila kitu kuhusu wao?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mmeshindwa kuheshimu maazimio yenu ya kutokusikliza Clouds, kweli hii ni Radio ya watu. Hapa Times ina safar ndef na ngumu sana! Mnajifanya hamsikilizi Clouds lakin mko update kwa kila kinachotangazwa huko, nimeamin Ruge ni bonge la Marketier kageuza challenge za Wana Jf kuwa Fursa, sasa wote wanahamasika kusikiliza Clouds!
 
CHADEMA haina utaratibu wa kuajiri watu kuja humu mitandaoni kujibu hoja, bali CHADEMA ina wapenzi wengi ambao ni 'Critical Thinkers' wanaopenda kujibu hoja mbalimbali zinazohusu CHADEMA.

Toka zako hapa. Unajua maana ya critical thinker wewe au umekariri tu?

Mimi nilisha Declare Interest humu JF kuwa ni ProCHADEMA na hilo liko wazi sana.

Wewe mbona mgumu kuelewa wewe? Watanzania mnapenda sana kutumia visivyo phrases za watu.

Huja-declare interest bali 'in the interest of full disclosure' umeweka hadharani unazi wako kwa CHADEMA.

Natumai baada ya kukusahihisha mara mbili hutarudia tena kosa. Sawa ndugu?

Sasa wewe tuambie una maslahi gani mahususi na Clauds media mpaka mapovu yakutoke kuja kutetea kila kitu kuhusu wao?

Kwanza, unakosea unaposema natetea kila kitu kuhusu Clouds. Hiyo siyo kweli.

Pili, mimi sina maslahi yoyote mahsusi.

Tatu, sitokwi na mapovu.

Nne, mimi siyo bandwagoner. Sirukii tu bandwagon kisa ni kitu ambacho ni popular kukifanya. Sijawahi hata kidogo kuwa mfuata mkumbo.

Kuna wengine humu wamefikia hatua ya kuabudu watu hadi kufikia wakimuona mtu huyo kachukua msimamo fulani basi na wao wanachukua msimamo huo huo. Hawawezi kuchukua misimamo yao kabla ya mungu wao hajachukua msimamo. Na hawawezi kabisa kupingana na hao watu wanaowaabudu.

Mimi siko hivyo. Mimi napima na kutafakari mambo kwa kadri ya uwezo wangu bila ushawishi wa yeyote kabla sijachukua msimamo na huwa siyumbishwi yumbishwi hovyo kama watu wengine.

Hivyo, kutetea kwangu Clouds kuhusiana na hili sakata la sasa hakujatokea tu hivi hivi. Nilisoma ule waraka wa kwanza wa huyo mwanamke na sikuona madai yoyote yale yaliyo mahsusi. Nilichoona ni madai ya jumla jumla mno tena ambayo mengine yalikuwa si sahihi.

Kwa jinsi nilivyo, hata wewe siku ikitokea nimeona unashambuliwa tu pasi na sababu, nitakuwa upande wako, yaani kwa maneno yako - nitatoa povu kukutetea. Hivyo ndivyo nilivyo.
 
Back
Top Bottom