Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Haunishindi mimi ninavyoichukia hiyo Radio
Kwa nini unaichukia Clouds? Na unayoipenda ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haunishindi mimi ninavyoichukia hiyo Radio
Kanumba, Ngwea japo mlitoswa na Familia ya Ngwea kwenye kushukuriwa baada ya kubaini janja yenu. Wazeee wa Fursaaaaaaaaaaàaa!
kwi kwi kwi fursa si ipo kwenye ile namba inayoanzia na 15 inayokusanya za rambirambi?
Bw nCHUCHU we waache tu hao watakuumiza kichwa!umesikia mabomu ArushaVimbelembele wa misiba kivipi?
Bw nCHUCHU we waache tu hao watakuumiza kichwa!umesikia mabomu Arusha
Nimeskia aisee. Pia nimeskia Clouds ndo wameyatupa.
Hahhhhhhhahhha mbavu zangu
Mbavu zako zimefanyanje tena we amyna m? Uko poa lakini?
Niko poa bwa nchuchu we hujambo?
Inawezekana Ruge na clouds hawajaona fursa
Vipi, Ruge, Kusaga na Clauds media wamekuajiri kuja kujibu post zao humu JF?Nimeskia aisee. Pia nimeskia Clouds ndo wameyatupa.
Vipi, Ruge, Kusaga na Clauds media wamekuajiri kuja kujibu post zao humu JF?
Maana kila wakiguswa tu, mbio mbio unakuja kujibu.
Please try to declare your interest first!!!
Haunishindi mimi ninavyoichukia hiyo Radio
CHADEMA haina utaratibu wa kuajiri watu kuja humu mitandaoni kujibu hoja, bali CHADEMA ina wapenzi wengi ambao ni 'Critical Thinkers' wanaopenda kujibu hoja mbalimbali zinazohusu CHADEMA.
Mimi nilisha Declare Interest humu JF kuwa ni ProCHADEMA na hilo liko wazi sana.
Sasa wewe tuambie una maslahi gani mahususi na Clauds media mpaka mapovu yakutoke kuja kutetea kila kitu kuhusu wao?