Clouds media na msiba wa Langa!

Clouds media na msiba wa Langa!

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Siku kadhaa sasa zimepita na hakuna update yoyote kuhusu msiba wa msanii Langa Kileo kutoka Clouds (Vimbelembele) wala media yoyote hapa nchini!
Je, hakuwa msanii kama wakina marehemu Steven Kanumba, Bi. Kidude Sharomilionea na Ngwea!
 
Ni lazima upate taarifa toka Clouds? Na ni lazima uweke Clouds kwenye kichwa cha habari?
 
Hata mimi nimesikitika kuona huu msiba haujapewa attention as if sio star, jana mchana nimeskiza radio one hawasema chochote kuhusu msiba huu
 
Jaman binafsi nimeskiza jana eastafrika redio waliongelea meengi kuhusu langa,
ila hao maliberali sijui imekuaje?ingawa waliweza kwenda SA ila mikochen wameshindwa
 
Wanaogopa kuchanwa, siwapendi blauzi fm basi tuuu
 
Wamtambue,wasimtambue haimfufua marehemu. Kwanza bora wamepiga kimya cse wangezidi kutuzidishia machungu na sifa zao kijinga. RIP Langa
WebRep

line-dark-horizontal.png
Overall rating
line-dark-horizontal.png




line-dark-horizontal.png
 
Hata mimi nimesikitika kuona huu msiba haujapewa attention as if sio star, jana mchana nimeskiza radio one hawasema chochote kuhusu msiba huu

Ahahahahah Waliberali tena kha!
 
Back
Top Bottom