Hauwezi ukaweka ofisi nzima 90% ni kabila moja hio ni troublization ya kipekee sana kuwahi kutokea very problematicKuna watu hampendi amani, mna chokochoko mradi tuu kuzua chuki na taharuki
Kuwaajiri wahaya sidhani kama ni kitu kilichopangwa au ni issue ya ukabila, ni kitu ambacho kinategewa kutokea kutokana na mazingira ya umiliki na mahusiano
Hao wachache wasio wahaya unaosema waliajiriwa bahati mbaya hebu tuambie mpango ulikua vipi na hiyo bahati mbaya ikatokeaješšš
Clouds hawajawahi kuwa wachaga hata siku moja. We unawajua wahaya wewe! Mhaya aajiri mchaga thubutu.Kuna Uzi humu ulikuwa unawatuhumu Clouds kuwa wamejaa watu wa Arusha.Sasa Leo yamegeuka.Sisi watanzania tunakuwa kama Malaya tu tabia zetu yaan.
Ufea šššRuge mhaya unadhanan ataajiri asiye na ukaribu nae!
Haki sawa zipo serikalini tu, ingawa familia karume, mwinyi, jk, ameir ndo wamegawana vinono.
Hakuna ufea duniani.
amesema watu wa Arusha, halafu wewe unasema wachaga, kwani wachaga wanatokea Arusha au hujui wachaga wanatokea mkoa gani.Clouds hawajawahi kuwa wachaga hata siku moja. We unawajua wahaya wewe! Mhaya aajiri mchaga thubutu.
Joseph Kusaga na familia ya Kusaga ndo wenye Clouds na Sio wahaya Sasa nyie chuki zenu zimebase wapi labda.Mi ni mtu wa pwani Kwa hiyo nyie watu wa mikoani punguzeni chuki za ukabila itawacost.Clouds hawajawahi kuwa wachaga hata siku moja. We unawajua wahaya wewe! Mhaya aajiri mchaga thubutu.
Haya+Sukuma ingawa wasukuma walizidiwa na Mhaya Ruge kwa kuwa hasa yeye ndo alikuwa engine ya media hiyo!!Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Kuna interview zozote ambazo mtu anaweza akafanya na hatimaye kumaliza na kuondoka bila interviewers kuwa wamefahamu jina lake?Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Kama kabla ya uzi huu hakukuwahi kuondokewa uzi mwingine ntaamini usemacho. Ila kama nyuzi nyingine zilishawahi ondolewa basi utakuwa ni uzushi kama uzushi mwingineMi Nina uhakika asilimia mia ndo mana Uzi huu utaondolewa kwa sababu hata mxen melo ni mhaya pia
Njoo na orodha ya waajiriwa wote hapo clouds media group kwanza ili tujiridhishe.
Pia katika zama hizi za mwingiliano mkubwa wa makabila yetu kutokana na kuoleana, kuitwa Muganyizi, Masawe au Mwashipumbu haitoshi kuitwa mhaya, mchaga au mnyakyusa
Mbona wasukuma wamejah humoKwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Millard na Frida Amani ni wahaya wa wapi ?Kipanya, ciza, sasali, mwihava, pj, kabaya nk
Mzaramo msomiš¤£Shaffih dauda Kajuna nae muhaya
Wewe ni mjinga. Mimi najutajua pia ambao sio wahaya: mamy baby, Adam mchomvu, Kennedy, geah,husna, Millard, fetty, mwijaku, Barbara,Kipanya, ciza, sasali, mwihava, pj, kabaya nk