Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Hauwezi ukaweka ofisi nzima 90% ni kabila moja hio ni troublization ya kipekee sana kuwahi kutokea very problematicKuna watu hampendi amani, mna chokochoko mradi tuu kuzua chuki na taharuki
Kuwaajiri wahaya sidhani kama ni kitu kilichopangwa au ni issue ya ukabila, ni kitu ambacho kinategewa kutokea kutokana na mazingira ya umiliki na mahusiano
Hao wachache wasio wahaya unaosema waliajiriwa bahati mbaya hebu tuambie mpango ulikua vipi na hiyo bahati mbaya ikatokeaje🙄🙄😏