sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari.
Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa.
Ombeni msamaha au TRCa wawafungie miaka miwili.