mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Maswala kama haya hayataki utani wazee, hata siasa hazihusiki - ni kosa baya media kubwa hivi kutoa taarifa kama hii alafu watu wapo ndani na wanapitia mtandaoni japo kwa shidaView attachment 3153938
Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari.
Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa.
Ombeni msamaha au TRCa wawafungie miaka miwili.