sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Shirika linaloratibu uangukaji wa magurofa.TRCa ndo nini?
Clouds Media ifungiwe uwezi andika upuuzi kama ule wakati kama huu lengo ni nini?Wizara ya habari ichukue hatua stahiki kwa vyombo hivi vinavyopenda kuripoti taharuki badala ya tukio
uthibitisho wa kifo unafanywa na Daktari sio mburula mwengine yoyoteripoti itasema waliokufa ni watatu
wanapoachwa wanazoea ..hapo jamaa ameshachukua elfu 30 tu ili azue taharukiClouds Media ifungiwe uwezi andika upuuzi kama ule wakati kama huu lengo ni nini?