kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
[HASHTAG]#SukaSuka[/HASHTAG] ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa speed zaidi ya mwendo kasi. Washindi wanatapa zawadi papo hapo kutoka [HASHTAG]#DarlingHair[/HASHTAG] kuwanao karibu ili kuwasaidia mbinu na njia za kijasiriamali waweze kufanikiwa katika fani yao ya ususi.
Bila Msusi Dada zetu wasingeringa hapa mjini. Bila Msusi mabrothermen wasingedata kwa watoto wa hapa town! Piga Salute kwa Wasusi Wote.
Kama we ni msusi mkali uwe mwanamke, mwanaume tunakuja kitaani kwako soon kama kawa. jiandae kwa zawadi kibao na kutoboa katika ususi [HASHTAG]#SukaSuka2016[/HASHTAG] [HASHTAG]#Sukasuka[/HASHTAG]
Clouds Media [emoji116]
Je, wewe ni msusi?? Au kuna msusi mkali mtaani Kwako ambaye ungependa atusue kimaisha kupitia ujuzi wake? Sasa fanya hivi
Kesho siku ya Jumanne @JokateMwegelo na ##LeoTena ya @Cloudsfmtz wamekuandalia Press Conference ambayo itahusisha wasusi mbalimbali wakali kutoka pande zote za jiji la Dar es Salaam wakilenga kuhakikisha msusi wako anapata ujuzi zaidi.
Unachotakiwa kufanya wewe kama msusi ni kufika Escape One Saa 3 kamili asubuhi pale utakutana na team nzima na kupewa utaratibu husika [HASHTAG]#MsusiWao[/HASHTAG] [HASHTAG]#UjuziWakoAjiraYako[/HASHTAG] cc @jokatemwegelo @cloudsfmtz @cloudstv