Clouds Media wakopy project ya Times Fm

Clouds Media wakopy project ya Times Fm

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
[HASHTAG]#SukaSuka[/HASHTAG] ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa speed zaidi ya mwendo kasi. Washindi wanatapa zawadi papo hapo kutoka [HASHTAG]#DarlingHair[/HASHTAG] kuwanao karibu ili kuwasaidia mbinu na njia za kijasiriamali waweze kufanikiwa katika fani yao ya ususi.

Bila Msusi Dada zetu wasingeringa hapa mjini. Bila Msusi mabrothermen wasingedata kwa watoto wa hapa town! Piga Salute kwa Wasusi Wote.

Kama we ni msusi mkali uwe mwanamke, mwanaume tunakuja kitaani kwako soon kama kawa. jiandae kwa zawadi kibao na kutoboa katika ususi [HASHTAG]#SukaSuka2016[/HASHTAG] [HASHTAG]#Sukasuka[/HASHTAG]

Clouds Media [emoji116]

Je, wewe ni msusi?? Au kuna msusi mkali mtaani Kwako ambaye ungependa atusue kimaisha kupitia ujuzi wake? Sasa fanya hivi
Kesho siku ya Jumanne @JokateMwegelo na ##LeoTena ya @Cloudsfmtz wamekuandalia Press Conference ambayo itahusisha wasusi mbalimbali wakali kutoka pande zote za jiji la Dar es Salaam wakilenga kuhakikisha msusi wako anapata ujuzi zaidi.
Unachotakiwa kufanya wewe kama msusi ni kufika Escape One Saa 3 kamili asubuhi pale utakutana na team nzima na kupewa utaratibu husika [HASHTAG]#MsusiWao[/HASHTAG] [HASHTAG]#UjuziWakoAjiraYako[/HASHTAG] cc @jokatemwegelo @cloudsfmtz @cloudstv
 
safi sana naona sasa tunaelekea pazuri naona fursa kwenye viwanda vya mawigi
 
wazee wa fursa hawachezi mbali, kama walivyowapokonya efm fursa ya singeli. Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Hii inaitwa unaiga kitu halafu unakiboresha.

Project nyingi sana huwa nasikia wana 'iba' Times fm halafu wao wanakuja kuboresha.
 
ubaya uko wapi hapo?
jambo jema vizuri liigwe na liendelezwe!
 
Wasusi wa uswahilini Escape 1 watakuja kweli,Au ni exclusive kwa wakutoka Mikocheni,Masaki na Mbezi?
 
[HASHTAG]#SukaSuka[/HASHTAG] ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa speed zaidi ya mwendo kasi. Washindi wanatapa zawadi papo hapo kutoka [HASHTAG]#DarlingHair[/HASHTAG] kuwanao karibu ili kuwasaidia mbinu na njia za kijasiriamali waweze kufanikiwa katika fani yao ya ususi.

Bila Msusi Dada zetu wasingeringa hapa mjini. Bila Msusi mabrothermen wasingedata kwa watoto wa hapa town! Piga Salute kwa Wasusi Wote.

Kama we ni msusi mkali uwe mwanamke, mwanaume tunakuja kitaani kwako soon kama kawa. jiandae kwa zawadi kibao na kutoboa katika ususi [HASHTAG]#SukaSuka2016[/HASHTAG] [HASHTAG]#Sukasuka[/HASHTAG]

Clouds Media [emoji116]

Je, wewe ni msusi?? Au kuna msusi mkali mtaani Kwako ambaye ungependa atusue kimaisha kupitia ujuzi wake? Sasa fanya hivi
Kesho siku ya Jumanne @JokateMwegelo na ##LeoTena ya @Cloudsfmtz wamekuandalia Press Conference ambayo itahusisha wasusi mbalimbali wakali kutoka pande zote za jiji la Dar es Salaam wakilenga kuhakikisha msusi wako anapata ujuzi zaidi.
Unachotakiwa kufanya wewe kama msusi ni kufika Escape One Saa 3 kamili asubuhi pale utakutana na team nzima na kupewa utaratibu husika [HASHTAG]#MsusiWao[/HASHTAG] [HASHTAG]#UjuziWakoAjiraYako[/HASHTAG] cc @jokatemwegelo @cloudsfmtz @cloudstv

Kama ukiwa umeopoa ' Demu ' wako halafu ukiwa upo nae ndani kwako ' Maghettoni ' unapayuka kwa ' mikogo ' kibao kuwa utamfanyia hiki na kile halafu kuna ' Njemba ' moja ipo jirani na hapo kila siku inakusikia halafu haioni ' Utekelezaji ' wake Je hiyo ' Njemba ' yenyewe ikimtongoza huyo huyo Demu wako na ikamfanyia yale yote uliyomuahidi na pengine hata kumzidishia na hatimaye yule Demu akamkubalia na akawa nae utamlaumu huyo ' Njemba ' kuwa amekuibia Demu wako kwa kutumia zile zile mbinu zako? Ninachowapendea Clouds Media Group wanatumia ' upungufu ' wetu wa akili kuwa ' Fursa ' kwao na kwakweli wamefanikiwa mno na nahisi kila siku maombi yao pengine ni kuzidi kuomba Watanzania tuendelee kuwa hivi hivi na ' uvivu ' wetu huu wa kufikiri ili wao wapige ' mitonyo '.
 
Clouds wana business mind, sisi huku tunabaki kulia lia tu. Fikiria wazo la chips-yai (Zege), Ndondo Cup n.k. TUAMKE VIJANA
 
Back
Top Bottom