Clouds media wanavuna walichopanda wasitafute mchawi

Clouds media wanavuna walichopanda wasitafute mchawi

Wewe unayewatetea Clouds kila uzi wàmekulipa sh ngapi hili ni jukwaa huru tusilazimishane kuaminishana vitu we vipi .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Siwatetei ilaa nashangaa mnaofurahia kuanguka kwa Clouds bila kujua wakibaki Wcb pekee Tabu itakuwa zaidi ya clouds aisee.....yanii hamjui mnachokiombaa ipo siku wasanii watamlamba miguu mondi awalipe hata hela ya chaii...
 
Amini usiami Wasafi Festival kufanyika Uwanja wa Taifa halafu mapato kwenda kulipa Koro Show[emoji41]
 
Sijawazungumzia Hao Wasafi kwasabab siwajui vizuri
Sijawahi hata siku moja kula bidhaa yao ya Wasafi TV au fm

Ila na wao kama wanafanya ujanja ujanja ustarajie watafika mbali
Hivi kwa akili yenu mnakubali kabisa kwamba kuzuiwa kufanyia Leaders club ndo kumewafanya wasifanye FIESTA??

Yani mnashindwa kufikiri kwamba bado kulikuwa na uwezo wa kuahirisha tarehe na kuandaa venue nyingine kuliko kupoteza hayo mamilioni??

Mi bado siamini kama kutofanya hiyo FIESTA tatizo ni hiyo manispaa kuwanyima Leaders.

Alafu safari hii Bashite naona kama alikuwa upande wao.

Kikubwa kingine mnachojichanganya ni pale mtu unapofurahia Clouds kukosa kufanya FIESTA na ukashangilia Wasafi kufanya Wasafi Festival bila kujua kuwa zote ni mali za mtu mmoja ama zina maslahi na mmiliki mmoja (Kusaga) japo nina imani na Ruge ana maslahi yake.
 
Hawa mabwenyenye wa media Tanzania kwa muda mrefu sana walizoea kuishi kwa mazoea, waliishi kwa kujipendekeza kwa serikali ya ccm na ndivyo wanavyoishi mpaka Leo

Mara nyingi hawa mabwenyenye hawafuti ethics za kazi yao hujiona bora kuliko media nyinginezo

Tunajua clouds media ilipaa sana Kipindi cha kikwete, walipiga sana pesa walipata fursa nyingi sana tunajua mzee kikwete Ni mtu simple alikuwa anapiga interview pale kila Mara

Nakumbuka kina kibonde walikuwa wanawanyea sana wapinzani na kuipigia makofi ccm

Yaan Kipindi cha kikwete mpinzan kusikiliza clouds ilikuwa kama unakalia kaa la moto wenyewe muda wote ilikuwa kuukashifu upinzani

Hawakujua hawakujua kuwa unafki una mwisho, hawakujua uongo una mwisho hawakujua dhuluma Ina mwisho
Hawakujua kuwa kila zama Zina mtume wake walifikiri mzee jk atadumu milele

Angalia Sasa pamoja na kujipendekeza kote awamu hii bado hawapati kile walichozoea kukipata
Kila wanachogusa wanapuyanga. Kama wangekuwa werevu wangekaa chini wakajiuliza

Nimesikia kuwa hawakukubaliwa kufanya onesho pale leaders ila wenyewe wakajiamini kwa kuwa walijua wao Ni makaada wa ccm

Mbona EFM waliomba pale walanyimwa na walipewa sababu

MI binafsi sifurahi kunyimwa kwa tamasha lenu kufanyika ila matatizo ya Leo mliyatengeneza wenyewe siku nyingi

Badilikeni...mbona huwa mnasema uyo ruge Ni usalama wa Taifa ameshindwa kutumia kofia yake kushawishi mamlaka?

Kuna media huwa zinanyanyaswa na mamlaka ila huwezi kuta wanalalamika hadharani nyie mmebanwa kende kidogo tu mshaanza kulia Lia,,, alahhh
Hata hujui nini umeandika....eti ruge ashawiahi,hujui kama ruge anaumwa?
 
Hivi kwa akili yenu mnakubali kabisa kwamba kuzuiwa kufanyia Leaders club ndo kumewafanya wasifanye FIESTA??

Yani mnashindwa kufikiri kwamba bado kulikuwa na uwezo wa kuahirisha tarehe na kuandaa venue nyingine kuliko kupoteza hayo mamilioni??

Mi bado siamini kama kutofanya hiyo FIESTA tatizo ni hiyo manispaa kuwanyima Leaders.

Alafu safari hii Bashite naona kama alikuwa upande wao.

Kikubwa kingine mnachojichanganya ni pale mtu unapofurahia Clouds kukosa kufanya FIESTA na ukashangilia Wasafi kufanya Wasafi Festival bila kujua kuwa zote ni mali za mtu mmoja ama zina maslahi na mmiliki mmoja (Kusaga) japo nina imani na Ruge ana maslahi yake.
Hata mimi inanishangaza pia mkuu.
Hivi huyu Diamond kwanini amefurahi sana Fiesta kutofanyika,hajua kama kama Wasafi na Clouds ni mali za mtu mmoja?
Alafu anatumia nguvu nyingi sana kushindana na clouds,haujui kama anashindana na kampuni ya boss wake?
Au ndio kusema Diamond anaigiza?
Anawafanya Watanganyika wajinga!?
 
Wagonjwa ndo wameomba ilo tamasha lisitishwe watawapigia kelele si wapeleke hata uwanja wa shamba la bibi.kwani lazima leaders
 
Back
Top Bottom