Clouds media wanavuna walichopanda wasitafute mchawi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa me na yeye nani mchawii??? Chuki na kuombea wengne mabaya ni zaidi ya Uchawiiii na Ushetanii
Inamuingizia kama unazopata wew kwa uchawi wako..
 
Kubwa niliyoona huruma ni kwa mama sakina wa mashujaa band, unajua clouds walifika mahala ikaonekamna kwamba bila wao haji star mkubwa bongo,awe mmarekani,jamaica,hata congo
Mama sakina akamleta nguli lenyewe Jb Mpiana pale leaders,kilichotokea ni kwamba mama wa watu alizimia,umeme ulizenguaaaa ukakatwa,jenereta likawa lishachezewa watu kupiga simu kwa wakodishaji majenereta wanaambiwa yashabukiwa,najua wapo watakaosema leta evidence sijui lete picha ila wadau wanajua NANI WALIOFANYA FITNA HIZI,yule mama wa watu hadi alizimia bila shaka leo anashangilia huko alipo
Channel ten wakajifanya kumpeleka fally ipupa kule arusha kilichowapata walikoma nafikiri hawakurudia tena
Majay Majizo kabla hajaanzisha radio kupitia kampuni ya Entertainment masters,Emasters anaweza kuwa victim mkubwa wa hawa jamaa,kuanzia show ya kina Joe thomas hadi ya kina T pain,Mims pale viwanja vya posta,iliwauma sana jamaa wa mjengoni WAKATENGENEZA UZUSHI KWMBA TPAIN KASEMA HAJAWAHI KUPAFOMU SHOW MBOVU KAMA YA TANZANIA,aisee nafikiri hiyo kitu hadi leo majay hajasamehe
 
Mbona hata ruge kalambwa sana miguu na wasanii.Kagonga dada zetu wangapi bwana kwa mgongo wa clous!
 
Mhhh, ngumu kumeza hii, ruge wala kusaga hawana chao wasafi festival na wala sio waanzilishi wa tamasha hilo
 
Hata mimi nimeona kama lipo jambo, wanavuta pumzi watatuambia.

DAB walishamuangukia, hakuwa na shida nao tena.
 
Ubaya waliuanza wao zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…