Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa nini unasema ni mashabiki "wanaojidai" kuwa ni wa Simba! unawajua?. Tusiwe tunawapangia watu namna ya kufikiri au kutoa mawazo yao.Nimesikiliza kipindi cha michezo cha Clouds Leo wakiwanukuu mashabiki wanaojidai ni wa Simba wakiponda kibegi, huku kwangu naona ni kuharibu biashara na sio fair kabisa.
Jezi za Simba zina quality ya kutosha, isipokuwa kuna wahuni kwenye vyombo vya habari wanalipwa viposho ili kuharibu biashara za watu, imewauma kibegi kuzinduliwa juu ya mlima kilimanjaro.
Hawataweza..nguvu ya Simba ni kubwa sanaNimesikiliza kipindi cha michezo cha Clouds Leo wakiwanukuu mashabiki wanaojidai ni wa Simba wakiponda kibegi, huku kwangu naona ni kuharibu biashara na sio fair kabisa.
Jezi za Simba zina quality ya kutosha, isipokuwa kuna wahuni kwenye vyombo vya habari wanalipwa viposho ili kuharibu biashara za watu, imewauma kibegi kuzinduliwa juu ya mlima kilimanjaro.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Haujawasikiiliza RFA(Radio Free Africa ya Mwanza).Wakianza kutangaza habari za Simba Sports Club wanakuwa wanyonge sana.Sijui Simba SC imewaudhi nini![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wakiona habari za SSC wanamuweka mwanamama atangaze.Kinyooooooongeeeeee!😂😂😂😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wale ni wehu Kwanza hawana data kabisa hua wanaongea habari za uongo kabisa na pumba nyingi sana
Ione tena mchanaMimi nimeiona jezi ya simba ya blue usiku huu. Haina maajabu kama tu zilivyo za yanga..
hivi hamjawasha moto kule milimani.Nimesikiliza kipindi cha michezo cha Clouds Leo wakiwanukuu mashabiki wanaojidai ni wa Simba wakiponda kibegi, huku kwangu naona ni kuharibu biashara na sio fair kabisa.
Jezi za Simba zina quality ya kutosha, isipokuwa kuna wahuni kwenye vyombo vya habari wanalipwa viposho ili kuharibu biashara za watu, imewauma kibegi kuzinduliwa juu ya mlima kilimanjaro.
Inaweza kuona picha ya jezi na ukajua na ubora wake, jezi ikiwa bado haijazinduliwa.Kwa nini unasema ni mashabiki "wanaojidai" kuwa ni wa Simba! unawajua?. Tusiwe tunawapangia watu namna ya kufikiri au kutoa mawazo yao.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app