Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimesikiliza kipindi cha michezo cha Clouds Leo wakiwanukuu mashabiki wanaojidai ni wa Simba wakiponda kibegi, huku kwangu naona ni kuharibu biashara na sio fair kabisa.
Jezi za Simba zina quality ya kutosha, isipokuwa kuna wahuni kwenye vyombo vya habari wanalipwa viposho ili kuharibu biashara za watu, imewauma kibegi kuzinduliwa juu ya mlima kilimanjaro.