Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Karibuni clouds wamekuwa wakiandaa show na wasanii kutoka nje ya nchi.

Kimbembe kimekuwa kikijitokeza kwenye interview na wasanii hao kwani jina la Diamond limekuwa haliepukiki.

Juzi juzi kwenye kipindi cha Friday night live EATV msanii kutoka Zimbabwe king 98 kamtaja mondi mpaka kero.

Alipoulizwa kuhusu wasanii wa Tanzania wanaosikilizwa Nigeria msanii wurld alijibu ni Diamond platnumz,v money na rayvanny.

Jana msanii rema kutoka Nigeria katua bongo. Alipoulizwa kuhusu Tanzania hakusita kumtaja Diamond platnumz.

My take;naziomba hizi media muwe mnawapanga hao wasanii. Wambieni wasanii wengine kama konde, Kiba, Nandy,n.k tofauti na hapo mtaaibika vya kutosha.
 
Mwanahabari kumpangia mhojiwa cha kusema ni kinyume na maadili ya tasnia ya habari.
 
Waache si wameamua kujitesa wenyewe... Wanatamani kujirudi ila wanaanzia wapi?
 
mafuriko hayadhibitiwi kwa mikono mkuu, hizi media inabidi zijitafakari sana maana watu wao hawatajwi
 
Mmh nenda kariakoo uka ulize wasanii wa uko kama uta msikia uyo mtu wenu sema hatupendi show off

SUBIRI KIDOGO
 
Karibuni clouds wamekuwa wakiandaa show na wasanii kutoka nje ya nchi.

Kimbembe kimekuwa kikijitokeza kwenye interview na wasanii hao kwani jina la Diamond limekuwa haliepukiki.

Juzi juzi kwenye kipindi cha Friday night live EATV msanii kutoka Zimbabwe king 98 kamtaja mondi mpaka kero.

Alipoulizwa kuhusu wasanii wa Tanzania wanaosikilizwa Nigeria msanii wurld alijibu ni Diamond platnumz,v money na rayvanny.

Jana msanii rema kutoka Nigeria katua bongo. Alipoulizwa kuhusu Tanzania hakusita kumtaja Diamond platnumz.

My take;naziomba hizi media muwe mnawapanga hao wasanii. Wambieni wasanii wengine kama konde, Kiba, Nandy,n.k tofauti na hapo mtaaibika vya kutosha.
Kwani bwana Harmonize hajafanikiwa kutoboa anga hizo, maana mwenyewe alisema kwa sasa hana wa kumshinda hapa Bongo ila cha ajabu kila anayekuja anaishia kuwataja wasanii wa Wcb tu, au Diamond huwa anawapa rushwa ?
 
Hata king98, alipoulizwa aliwezaje kumpata Mond, alisema aliunganishwa kwake na Davido.
Juzi Kati hapa wamemleta Joeboy, baada ya interview na mambo yao mengine, jamaa kaenda kukutana na Mond. Kwahiyo ifike mahala tukubaliane kwamba, Mond Ni msanii mkubwa kwasasa.
 
Asksr Diamond Ni Kama maji usipoyaoga utayanjwa usipoyanjwa utafulia.Kuna wakati mpaka nikacheka eti wanalazimisha joeboy amtaje Nandy ndio kwanza msanii anamtaja mondi
 
Kwani bwana Harmonize hajafanikiwa kutoboa anga hizo, maana mwenyewe alisema kwa sasa hana wa kumshinda hapa Bongo ila cha ajabu kila anayekuja anaishia kuwataja wasanii wa Wcb tu, au Diamond huwa anawapa rushwa ?
Tanzania tuna international acts kwenye music sana sana wawili

1. Platnumz

2. Vee money

kibaya vee anafichwa na hizi teams pamoja na industry kutawaliwa na wanaume
 
Fanya kujaribu kutotumia maji kwa kitu chochote angalau kwa siku tu, ukiweza na ss waandsh tutafanya hvyo
 
Back
Top Bottom