Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

Ndo yale yaleyale yaliyo mtoa B12..jamaa wanaangaika kutomtaja mond alaf mond na nandy ndio artists kutoka Tz kweny ile show..alaf nandy alizingua sana...mwisho wa siku alie ng'ara ni Simba..dah[emoji3]
Lakin bado Mawingu wakawa wanamsifia nandy

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Alafu Anatajwa mondi tu Ila yule Mediocre hatajwi duh.
 
Sababu nyingine pia hao wanaigeria wanaamini diamond ana fan base kubwa hata locally kwahio kupitia yeye wanaweza wakakuza mziki wao kwa hapa Tanzania so far Tanzania kwa sasa katika mziki ni among of best kongole kwa wasanii wetu wamejitahid kupush
 
umeshajiuliza kinachowafanya waamini ana mashabiki wengi ni kitu gani?
 
Hao jamaa inabidi wamuombe samahani Diamond tu ili maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom