Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

Huu ni umbwiga... unataka watajwe nani Mkuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Katika Maswali yao 10, Waache kuuliza swali moja tu, Msanii Gani wa Tanzania anafanya vizuri huko kwao. Wakiacha kuuliza swali hili watamuepuka Mondi the Don
Kwa jinsi ninavyoona hata wakikwepa hilo swali bado jina la Diamond lita pop up kwenye hayo maongezi kwa namna nyingine.
 
Tanzania tuna international acts kwenye music sana sana wawili

1. Platnumz

2. Vee money

kibaya vee anafichwa na hizi teams pamoja na industry kutawaliwa na wanaume
Huyu aliyeimba wimbo wa Mediocre vipi ?
 
Media gani itaajiri huyu punga??? Jobless hili jamaa.
Hata mimi sitaki kuamini kabisa Hilo swala.Uandishi wake,hoja zakena jinsi anavyoshinda humu Jf, hawezi kuwa mtu wa tasnia ya habari, hawezi kabisa.Huyo Ni jobless tu.
 
The Host:Um!Any artists you know In Tanzania?

Rema;Oh!Diamond is a very good guy His song jeje is Dope!

Host:Apart from Diamond would you tell us any other artists you know ?

Rema:Maybe I'll get to know them[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naona clouds na eatv wako SAHIHI.bifu lako na diamond usiwaambukize wenzio.
Safi Sana kwa clouds na eatv
 
Back
Top Bottom