Huyu aliyeimba wimbo wa Mediocre vipi ?
umeshajiuliza kinachowafanya waamini ana mashabiki wengi ni kitu gani?Sababu nyingine pia hao wanaigeria wanaamini diamond ana fan base kubwa hata locally kwahio kupitia yeye wanaweza wakakuza mziki wao kwa hapa Tanzania so far Tanzania kwa sasa katika mziki ni among of best kongole kwa wasanii wetu wamejitahid kupush