Ahhhahha...huku MBWIGA AKIDEKA NDANI YA BESENI....Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli.
Nimeaamua sasa sisikilizi nikiwa na watoto au nikiwa na wazazi yaaaani likianza kama upo na wakwe au wazazi unatamani Tanesco wakate umeme
Achane kutuzingua clouds bhana kwani nyinyi ndo mnajua mapenzi zaidi ya wengine .....
Hayo tu
Sikiliza mkuuJamani mnataka watoto wasiwe na upendo?? Kwani umeona tangazo hilo linaendandana migegedo mkuuu? Kweli akili ni nywele!! Mm nawasha tu na mwanangu akaniuliza maana ya mubashara nikamjibu akafurahi tu,kwani mapenzi mpaka yawe hayo unayoyawaza ww??
swal zuri na mjb nategemea nategemea yatakuwa mazuriMkuu kwani radio yako inashika station moja pekee?