Clouds na Mapenzi mbashara wanafanya watu tunashindwa kusikiliza mbele watoto

poisson

Senior Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
130
Reaction score
42
Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli.
Nimeaamua sasa sisikilizi nikiwa na watoto au nikiwa na wazazi yaaaani likianza kama upo na wakwe au wazazi unatamani Tanesco wakate umeme

Achane kutuzingua clouds bhana kwani nyinyi ndo mnajua mapenzi zaidi ya wengine .....
Hayo tu
 
Kuna Tusi pale?mimi nahisi ni tafsida tena ya hali ya juu imetumika tena in jokes mode.....ngoja waje wenye mawazo tofauti tuelimishane zaidi
 
kwanza unajua maana ya mubashara?
halafu ITV na radio one wanalitumia sana,sasa hawatumii live,sijui kusema tupo live,hawasemi hivyo bali wanasema tunawaletea mubashara toka eneo fulani
 
Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli.
Nimeaamua sasa sisikilizi nikiwa na watoto au nikiwa na wazazi yaaaani likianza kama upo na wakwe au wazazi unatamani Tanesco wakate umeme

Achane kutuzingua clouds bhana kwani nyinyi ndo mnajua mapenzi zaidi ya wengine .....
Hayo tu
Ahhhahha...huku MBWIGA AKIDEKA NDANI YA BESENI....
 
Jamani mnataka watoto wasiwe na upendo?? Kwani umeona tangazo hilo linaendandana migegedo mkuuu? Kweli akili ni nywele!! Mm nawasha tu na mwanangu akaniuliza maana ya mubashara nikamjibu akafurahi tu,kwani mapenzi mpaka yawe hayo unayoyawaza ww??
 
Sikiliza mkuu
 
Back
Top Bottom