poisson
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 130
- 42
Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli.
Nimeaamua sasa sisikilizi nikiwa na watoto au nikiwa na wazazi yaaaani likianza kama upo na wakwe au wazazi unatamani Tanesco wakate umeme
Achane kutuzingua clouds bhana kwani nyinyi ndo mnajua mapenzi zaidi ya wengine .....
Hayo tu