DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? basi balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta sijui eneo gani Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio wapo katika Fiesta muda huu?!" .. Ruby "ni mslai" duu! utadhan mwalimi wa zamu anamfokea mwanafunzi aliekuwa chimbo kumbe ni mwanamziki.
Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha ila Pamoja nakuomba msamha utapotezwa kwenye game na awo awo msimamo kitu muhimu ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha ila Pamoja nakuomba msamha utapotezwa kwenye game na awo awo msimamo kitu muhimu ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.