Clouds na Ruge jaribuni kuplay Fair haya ni maisha tunapita

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? basi balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta sijui eneo gani Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio wapo katika Fiesta muda huu?!" .. Ruby "ni mslai" duu! utadhan mwalimi wa zamu anamfokea mwanafunzi aliekuwa chimbo kumbe ni mwanamziki.

Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha ila Pamoja nakuomba msamha utapotezwa kwenye game na awo awo msimamo kitu muhimu ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
 
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? Bac balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta cjui eneo gan Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio wapo ktk Fiesta muda huu?!" .. Ruby "Ni Masrai" Duu! Utadhan Mwalim wa Zamu anamfokea Mwanafunzi aliekuwa chimbo kumbe n Mwana muziki !!

Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha..ila Pamoja nakuomba msamha..utapotezwa kwenye game na awo awo...msimamo kitu muhimu ..ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
Awe kama JD ili afe njaa sio
 
Kaomba msamaha?

Wengine tulisema humu kipindi kile anajazwa ujinga kwamba asidhani wenzake ni wajinga sana kuendelea kufanya kazi na Clouds.

Kiko wapi?
 
Uwoga tyu wa maisha na kutoumiza kichwa kwani media ipo moja ?
Kama upo sawa na ni haki yako hakuna hata ya kuomba msamaha ✌ !!
 
Alf Ruby amepoteza self confidence kabisa yaani adi anajiita yy jina la ajabu iv yy anajisahau akuna mbadala wake ktk uhumbaji.
 
Wakati mwingine wasanii wenyewe wanashindwa kuendana na kazi zao, wewe umesaini mkataba zen haupo kazini na hutaki uambiwe? Huo si upuuzi huo? Hukusoma mkataba?
 
Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha..ila Pamoja nakuomba msamha..utapotezwa kwenye game na awo awo...msimamo kitu muhimu ..ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
Acha kudanganya watu wewe wakati wewe...

Narudia na nitarudia kusema! Tanzania hii ni hodari wa kujifanya kuyaona matatizo ya wenzao wakati ya kwao ni makubwa kuliko hayo ya wenzao wanayoyasemea!

Si ajabu wenye mawazo kama yako dhidi ya Ruby wengine ni degrees holder walioajiriwa kwa mshahara usiofika hata 500K as take home. Pamoja na yote hayo, wakiwa mbele za mabosi ni wanyenyekevu kupita maelezo na wakipewa mkwara wa kufukuzwa kazi, watapiga hadi magoti... halafu hapa mnawataka akina Ruby wawavimbie vichwa wanaofanya mambo yawe yanaenda!

Awe kama Jide... hivi unaweza kumlinganisha Jide na Ruby ambae si ajabu hadi kesho anaishi nyumba ya kupanga! Huyo Jide ana nini siku hizi kama sio anaishi kwa kutegemea alizochuma hapo kabla?!

Kwa taarifa yako, entertainment industry isn't fair at all... sio tu Tanzania bali duniani kote! Hata huko Hollywood watu wanavimba vichwa wakati wameshakuwa daraja la juu... sio unatoa single mbili tatu au unashiriki filamu moja au mbili ambavyo hazijakufanya japo kukaribia kwenye A-List halafu unajifanya kuwavimbia industrial insiders... utapotea tu!
 
Jide Anamafaniko makubwa ikiwemo kumiliki nyumba Nzuri ya kisasa...hapa dar...pia gari analotembelea Jide ni balaa sio mchezo...sasa wewe ukitaka kucompare kuhusu...jide uangalie wasanii ambao wako chini ya Ruge kama kuna ambaye anamafanikio kama ya Jide.

Liziki anapanga Mungu siyo binadamu..uwez amini Jide alipoachana na show za clouds alipata mafanikio makubwa ...we nenda Google umsearch Jide ujionee balaa lake...jide afanani hata chembe nawasanii wa Ruge.
 
Hivi unajua unachokiongea wewe na umeelewa nilichosema?!

Hizo mali unazosema Jide alizipata baada ya kuwa na bifu na Clouds au kabla?! Au unatakiwa kukumbushwa kwamba Jide alikuwa na Clouds in one way or another for more than 10 years... tangia enzi za Smooth Vibes hadi alipokuja kufunga ndoa na Gadner ambae aliitumiwa vizuri Clouds kum-promote Jide!

Subiri Mungu akupe riziki lakini inaonekana ameacha kufanya hivyo kwa Ruby!
 
Sasa Tangia Jide aachane na clouds ..unafikil nimiaka mingapi...na unafikil anaishije...jide sio mwenzako Gadina mwenyewe alifukuzwa na jide ...alikuwa ana anachomiliki zaidi ya box la cd ...we usimchukulie pow Jide ...yaan Jide anamafanikio makubwa sio mchezo since day one...Sasa wewe unaleta ushabiki wako wa ulanzi...kumbe ukwel unaujua....
 
Back
Top Bottom