kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Wale wale wa yanga imekufa kiume,kifo kina jinsia?Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
Inaonyesha wapenzi wa migongo wazi wanapenda kucheza mpira magazetini. Kwani hata timu yao ni hivyo hivyo. Mpira mwingi magazetini. Wakifungwa kimya magazeti yanadoda. Na waandishi wengi wamegundua ulimbukeni huo wa "umemuona mkata umeme anaweza kupata namba pembeni ya Pogba".Kiukweli magazet yanauza siku yanga ikishinda , hii ipo waz fanya utafiti, pia, hii inaonesha yanga ina mashabiki wengi kuliko simba
Kuna kombe la kununua magazeti?Hapo ndipo utajua uwezo wa hawa wachambuaji uchwara. Migongo wazi wanajulikana kwa kucheza mpira magazetini.Nimesikiliza kipindi cha sports extra leo kilijaa unafiki mtupu. Hoja kubwa kwanini magazeti hayauziki baada ya mechi ya jana ya Simba na Yanga ni kutokana na mechi kuonyeshwa live kupitia Azam. So watu hawana jipya la kwenda kusoma kwenye magazeti.
Hizi sababu za ubahili wa washabiki wa Simba ni propaganda tu hazina ukweli wowote
Ya wananchi?Au ya Manji?Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
Cmba ni timu gani mkuu?ligi kuu hakuna timu inaitwa jina hilo mkuu.Wanazingua sana clouds,,kama kipind chao cha michezo leo badala ya kuchambua mchezo ulikuwaje ndani ya pitch wao wanachambua nje ya pitch jinsi magazeti yanavyouzika,,,,ilitakiwa kama wao ni wana habar za sport waelezee mchezo ulikuwaje katka pitch,ila cmba angekuwa kafungwa ungeckia sasa uchambuz wao mara cmba hawana streka,mara beki za cmba zilikatka,mara kipa wa cmba galasa,mara kichuya hakuonyesha makali yake,,,,,
Mimi nashangaa sana Yanga na bilionea wao Manji lakini wamechezea 4o'clock kutoka Azam.Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Wananchi waliozoea kushindwaShafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
By the way ninunue gazeti hard copy LA nini??Nimesikiliza kipindi cha sports extra leo kilijaa unafiki mtupu. Hoja kubwa kwanini magazeti hayauziki baada ya mechi ya jana ya Simba na Yanga ni kutokana na mechi kuonyeshwa live kupitia Azam. So watu hawana jipya la kwenda kusoma kwenye magazeti.
Hizi sababu za ubahili wa washabiki wa Simba ni propaganda tu hazina ukweli wowote
Hao watangazaji Kama wana biashara za kuuza magazeti waseme tu wanapigia promo biashara zao sio kutuletea ujinga wao!Kuna kombe la kununua magazeti?Hapo ndipo utajua uwezo wa hawa wachambuaji uchwara. Migongo wazi wanajulikana kwa kucheza mpira magazetini.
Hahaaaaaaaaaaa nimeshangaaa Cmba itakuwa ya Malaysia hiyoCmba ni timu gani mkuu?ligi kuu hakuna timu inaitwa jina hilo mkuu.
Hahaha!!Wale wale wa yanga imekufa kiume,kifo kina jinsia?