Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

sasa kufungwa na azam na kutolewa kwenye penalt na simba ndyo useme yanga mbovu,,timu ipi mbovu kati ya simba na yanga,,yanga kabeba ndoo huu mwaka wa tatu lakn simba ana misimu minne ajebeba ndoo walakushiriki michuano ya kimataifa
 
Sasa kama mbovu imepataje hizo penati na yanga wazuri wamekosaje hizo penati maana wa kimataifa sifa moja wapo ni lazima amudu kila nyanja?
Kila nyanja kweli sijui kama angepatikana wa kupewa balon dor
 
Shafii anajulikana ni Simba damu. Akiisifu Yanga, atakuwa anamaanisha anachosema
 
Wengine tumejiwekea kusoma magazeti makini.Ukihisi makanjanja unatupa kulee...
 
Back
Top Bottom