Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Gazeti lenyewe limejaa matangazo ya waganga tu...bwah hah hah hah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Vipi haukupata kushangaa ya united kutoka kwa chelsea[emoji23] [emoji23]Mimi nashangaa sana Yanga na bilionea wao Manji lakini wamechezea 4o'clock kutoka Azam.
Kila nyanja kweli sijui kama angepatikana wa kupewa balon dorSasa kama mbovu imepataje hizo penati na yanga wazuri wamekosaje hizo penati maana wa kimataifa sifa moja wapo ni lazima amudu kila nyanja?
Wananchi walomuweka Magu pale[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga timu ya chama ila Simba ndio timu ya wananchi.
Timu mbovu inafika mpaka fainali bila kubebwa na marefa.Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi